Mfahamu kiundani mmiliki wa Tanzania

Google uki google kitu chochote watakuletea hatakama hicho kitu hakipo,
watajitahidi kukuletea maelezo yanayotaka kufanana na ulichogoogle,
ndio walichofanya hapo kwako,umegoogle nonsense wao wamekuletea sense, au hujasoma maelezo waliokuletea??
 
google uki google kitu chochote watakuletea hatakama hicho kitu hakipo,
watajitahidi kukuletea maelezo yanayotaka kufanana na ulichogoogle,
ndio walichofanya hapo kwako,umegoogle nonsense wao wamekuletea sense, au hujasoma maelezo waliokuletea??
Nipe mfano wa nchi nyingine yeyote ambayo ukisearch wanakupa mmiliki
 
google uki google kitu chochote watakuletea hatakama hicho kitu hakipo,
watajitahidi kukuletea maelezo yanayotaka kufanana na ulichogoogle,
ndio walichofanya hapo kwako,umegoogle nonsense wao wamekuletea sense, au hujasoma maelezo waliokuletea??

Kama yeye anaamini hivyo achana na ujinga wake!
 
Ni nini hii mkuu mwaga nondo
Download openchat gpt pale play store mkuu,,Kisha Anza kuitumia ila ipo ya free na ipo inayolipiwa Kwa mwezi Hadi mwaka mmoja.
ChatGPT ni artificial intelligence chatbot ambalo liko na speed na umakini wa hali ya juu wa kutafuta habari na kufanya uchanganuzi wa chochote ambacho unaliuliza Kwa haraka sana na uhakika zaidi.
Watu wengi wanalitumia sasa hivi Kwa kufanya research mbalimbali,kufanya analysis mbalimbali,kuandika proposals n.k
Ni trend mpya kwenye technology lifatilie utajua maajabu yake.
 
Unafahamu kitu kinaitwa SEO na Tagline?, jifunze digital marketing utaelewa vizuri. Na mbona hapo chini wamekuambia ni mmiliki wa MeTL Group na sio Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…