Mfahamu kiundani mmiliki wa Tanzania

Mfahamu kiundani mmiliki wa Tanzania

Download openchat gpt pale play store mkuu,,Kisha Anza kuitumia ila ipo ya free na ipo inayolipiwa Kwa mwezi Hadi mwaka mmoja.
ChatGPT ni artificial intelligence chatbot ambalo liko na speed na umakini wa hali ya juu wa kutafuta habari na kufanya uchanganuzi wa chochote ambacho unaliuliza Kwa haraka sana na uhakika zaidi.
Watu wengi wanalitumia sasa hivi Kwa kufanya research mbalimbali,kufanya analysis mbalimbali,kuandika proposals n.k
Ni trend mpya kwenye technology lifatilie utajua maajabu yake.
Wow!!!

Asante sana Mkuu
Barikiwa sana
 
Hii nchi in vijana bafeera munooo
Kama hivi
IMG-20230305-WA0005.jpg
 
Ulikuwa uuna query hivyo kutaka kugundua nini jamaa yangu au ulikuwa unawaza nini embu jaribu na who owns me(you) tuone unapata nini I fear Google isije ikajibu SATAN
 
Sijui ni watu wa wapi lakini bila shaka ni vijana wa usa pale Seattle hao Kuna huyu Jamaa ndio alianzisha anaitwa Sam Altman ndio ceo wa OpenAI ndio wamezindua iyo ChatGPT
Hii itakuwa kila member anashiriki kujibu, hivyo ukiuliza swali, kuna mtu analinibu kisha analipwa i think, maana majibu yako so precise, so accurate..
 
Ulikuwa uuna query hivyo kutaka kugundua nini jamaa yangu au ulikuwa unawaza nini embu jaribu na who owns me(you) tuone unapata nini I fear Google isije ikajibu SATAN
Kweli Akili zetu zinatofautiana, wengi huanza na sababu kisha ndio wanafanya, mimi huwa nafanya kwanza (By instinct / Intuition / Gut feeling) halafu natafuta sababu kwani nimefanya 😂, nikiikosa basi, nasema nilikosea
 
Back
Top Bottom