Mfahamu kwa kifupi Kizzmekia Corbett mwana dada mwenye asili ya Afrika (Mmarekani mweusi) na Mgunduzi mkuu wa chanjo ya COVID-19

Wenzetu chini ya miaka 30 anafanya Mambo makubwa kwa sababu wanapewa nafasi sisi tumejaza maprofesa na madokta kwenye siasa wanafanya ushubwada tu
Zee linakosa muda wa gunduzi mbalimbali linaishia kwa waganga kutafuta ndugu lipigiwe kura eti kuwa mbunge shenzy kabisa
 
Zee linakosa muda wa gunduzi mbalimbali linaishia kwa waganga kutafuta ndugu lipigiwe kura eti kuwa mbunge shenzy kabisa
... Na kweli mengi yamekimbilia ubunge yapate teuzi. Mengine yanalilia retirement yaongezewe to 70+ wakati under 40- wanaiponya dunia!
 
Tatizo hawajui kwamba wafrika wa sasa sio mbumbumbu kama wale wa zamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Umbumbu wa mwafrika umeisha lini?tena ndio umeongezeka kabisa, kuna umbumbu unaozidi ule wa kujitambua??bora hata wazee wetu, kina mkwawa, isike, kinjekitile, walikuwa na uthubutu wa kupinga unyonyaji, ila unyonyaji /unyanyasaji tunaofanyiana sisi kwa sisi ndio mbaya zaidi, na hatuna la kufanya zaidi ya kujipa moyo eti tuna mwachia mungu!!yaani hadi hao wazungu wanatuonea huruma na kuingilia kati kututetea!!sasa hapa kizazi kipi kina jitambua??!!
 
Hongera sana,kumbe watu weusi tumefanya kitu ametuheshimisha waafrika.

#majaribio yaendelee.
 
Wenzetu chini ya miaka 30 anafanya Mambo makubwa kwa sababu wanapewa nafasi sisi tumejaza maprofesa na madokta kwenye siasa wanafanya ushubwada tu
Fanya hesabu yako vzuri, umeambiwa kazaliwa mwaka 1986 ankuwaje under 30...?
 
Zee linakosa muda wa gunduzi mbalimbali linaishia kwa waganga kutafuta ndugu lipigiwe kura eti kuwa mbunge shenzy kabisa
Hawaweki nguvu kusupport vijana na taaluma pamoja na utafiti matokeo yake kila kitu tunaagiza nje
 
Tena maprofesa na PhD feki
Nyingi ni kanjanja ndio maana hazileti matokeo kwenye jamii, mfano eti dakitari wa uchumi anaona fahari kuongeza Kodi na tozo kwenye huduma muhimu badala ya kuangalia namna gani mapato yanapotea kwanza pia kuirasimisha biashara ambazo sio rasmi ilikuongeza mapato
 
Haya hivyohivyo ila point yangu ni kuona namna wenzetu wanavyodhamini utaalamu na vijana
Hata kwetu wapo japo hawapewi support inayostahili, kunavijana wanafanya vtu vkubwa sana ila huwezi wasikia kma si mtafuta taarifa.
 
🤣🤣🤣kwan hyo chanjo ni ya vidonge or chip inaweza kukaà kama kimiminika..?
Tuwaulize hao wanaosema kuna chip.

Kuna mmoja nilimsikia anasema chip iko na ukubwa kama kipunje cha mchele,alafu sijui kitobo gani cha sindano kitaweza kupitisha ukubwa wa chip unaofanana na ouje ya mchele.

Llakini hata kama iwe ya vidonge hiyo chanjo,je kuna ushahidi gani kwwmba kuna chip katika vidonge ?

Kwa sababu sisi uwazi tunaouona na wenye uhakika ni chanjo(sindano au vidonge) sasa hawa wanaosema kuna chip waje na ushahidi wa uwazi kuthibitisha hizo chip zao ..
 
😁😁😁tunapenda sana kuendesha mabo yetu kihisia.tushasahau kwamba hz chanjo hazijaanza leo, toka tumezaliwa tunapigwa tu hayo machanjo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…