road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,021
Tena maprofesa na PhD fekiWenzetu chini ya miaka 30 anafanya Mambo makubwa kwa sababu wanapewa nafasi sisi tumejaza maprofesa na madokta kwenye siasa wanafanya ushubwada tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena maprofesa na PhD fekiWenzetu chini ya miaka 30 anafanya Mambo makubwa kwa sababu wanapewa nafasi sisi tumejaza maprofesa na madokta kwenye siasa wanafanya ushubwada tu
Basi utakifa kama stoneHata angekuwa mweusi kama mkaa, hafanyiwi mtu majaribio hapa
Zee linakosa muda wa gunduzi mbalimbali linaishia kwa waganga kutafuta ndugu lipigiwe kura eti kuwa mbunge shenzy kabisaWenzetu chini ya miaka 30 anafanya Mambo makubwa kwa sababu wanapewa nafasi sisi tumejaza maprofesa na madokta kwenye siasa wanafanya ushubwada tu
kina gwagima wananufaika na ujinga huo ndio maana anapambana xanaAkili za wabongo bhana🙄
Ona maswali wanayouliza hapo juu!
Tatizo hawajui kwamba wafrika wa sasa sio mbumbumbu kama wale wa zamani[emoji23][emoji23][emoji23]Wamarekani wanadhani kutangaza mgunduzi ni mweusi, Basi Waafrika watashoboka, kumbe Waafrika hawana Imani hata kidogo na ugunduzi wowote wa mtu mweusi
Kuna jambo unatafutaAngekua mtoto wa kizaramo saa nyingi ashachezwa na kuozwa kwa kibabu huko Mwenerumango. Tusomeshe watoto wa kike
Hiyo ni Misukule ya JiweUna ushahidi gani kwamba kuna chip mkuu ?
... Na kweli mengi yamekimbilia ubunge yapate teuzi. Mengine yanalilia retirement yaongezewe to 70+ wakati under 40- wanaiponya dunia!Zee linakosa muda wa gunduzi mbalimbali linaishia kwa waganga kutafuta ndugu lipigiwe kura eti kuwa mbunge shenzy kabisa
Umbumbu wa mwafrika umeisha lini?tena ndio umeongezeka kabisa, kuna umbumbu unaozidi ule wa kujitambua??bora hata wazee wetu, kina mkwawa, isike, kinjekitile, walikuwa na uthubutu wa kupinga unyonyaji, ila unyonyaji /unyanyasaji tunaofanyiana sisi kwa sisi ndio mbaya zaidi, na hatuna la kufanya zaidi ya kujipa moyo eti tuna mwachia mungu!!yaani hadi hao wazungu wanatuonea huruma na kuingilia kati kututetea!!sasa hapa kizazi kipi kina jitambua??!!Tatizo hawajui kwamba wafrika wa sasa sio mbumbumbu kama wale wa zamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya hesabu yako vzuri, umeambiwa kazaliwa mwaka 1986 ankuwaje under 30...?Wenzetu chini ya miaka 30 anafanya Mambo makubwa kwa sababu wanapewa nafasi sisi tumejaza maprofesa na madokta kwenye siasa wanafanya ushubwada tu
🤣🤣🤣kwan hyo chanjo ni ya vidonge or chip inaweza kukaà kama kimiminika..?Una ushahidi gani kwamba kuna chip mkuu ?
Haya hivyohivyo ila point yangu ni kuona namna wenzetu wanavyodhamini utaalamu na vijanaFanya hesabu yako vzuri, umeambiwa kazaliwa mwaka 1986 ankuwaje under 30...?
Hawaweki nguvu kusupport vijana na taaluma pamoja na utafiti matokeo yake kila kitu tunaagiza njeZee linakosa muda wa gunduzi mbalimbali linaishia kwa waganga kutafuta ndugu lipigiwe kura eti kuwa mbunge shenzy kabisa
Nyingi ni kanjanja ndio maana hazileti matokeo kwenye jamii, mfano eti dakitari wa uchumi anaona fahari kuongeza Kodi na tozo kwenye huduma muhimu badala ya kuangalia namna gani mapato yanapotea kwanza pia kuirasimisha biashara ambazo sio rasmi ilikuongeza mapatoTena maprofesa na PhD feki
Hata kwetu wapo japo hawapewi support inayostahili, kunavijana wanafanya vtu vkubwa sana ila huwezi wasikia kma si mtafuta taarifa.Haya hivyohivyo ila point yangu ni kuona namna wenzetu wanavyodhamini utaalamu na vijana
Na wewe ndio utaushi milele sio?Basi utakifa kama stone
Tuwaulize hao wanaosema kuna chip.🤣🤣🤣kwan hyo chanjo ni ya vidonge or chip inaweza kukaà kama kimiminika..?
😁😁😁tunapenda sana kuendesha mabo yetu kihisia.tushasahau kwamba hz chanjo hazijaanza leo, toka tumezaliwa tunapigwa tu hayo machanjo.Tuwaulize hao wanaosema kuna chip.
Kuna mmoja nilimsikia anasema chip iko na ukubwa kama kipunje cha mchele,alafu sijui kitobo gani cha sindano kitaweza kupitisha ukubwa wa chip unaofanana na ouje ya mchele.
Llakini hata kama iwe ya vidonge hiyo chanjo,je kuna ushahidi gani kwwmba kuna chip katika vidonge ?
Kwa sababu sisi uwazi tunaouona na wenye uhakika ni chanjo(sindano au vidonge) sasa hawa wanaosema kuna chip waje na ushahidi wa uwazi kuthibitisha hizo chip zao ..