Mfahamu Kwa picha Mkuu wa Wilaya Mstaafu wa Sumbawanga

Hyo picha ya 4 imeniogopesha duuh
Usingizi wa mtu huo.
Ila ukisikia wanawake wanaohonga wanaume ni Kama diisii. Mtu wa kawaida hapo utavutiwa na kitu gani? Lazima ni pesa tu, halafu kuzima taa ni lazima.
 
Hahahaha
 
Picha ya tatu mkuu wa wilaya kalipuka pamba acha kabisa au siyo ndugu zangu.
 
Kwa vile mama huwa anapataga muda wa kuingia Jf nadhani safari hii akiingia na kuziona hizi picha ni lazima ajipongeze kwa kutengua uteuzi alioufanya
Kazi ya URAIS needs concentration ya hali ya juu, sasa mama kila leo yuko kwenye sherehe za harusi na taarab , hayo mafaili atayasoma kwa makini saa ngapi? Ndio maana mara analipuka sijui wameongeza fedha kwenye malipo ya ndege na kuwafukuza watu kazi kwa jazba halafu wanalipa zile fedha walizosema wamepigwa na ndege inaletwa na yeye kuipokea hata bila kuliambia Taifa kuwa imebidi kulipa lile deni lote na sasa nchi ina uhaba wa $$$$$$!!!!
 
WENYE AKILI TIMAMU TUNANYIMWA UONGOZI WANAPEWA WAJINGA NA WASHENZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…