Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Kwanini ?Ndoto za alinacha hizi, em amka weweee, utajikojolea buree. Lol
Hawezi kutokea papa mweusi, kamweee.Kwanini ?
Hakuna INEC kule. Wako na taratibu zao za toka Mtaguso wa Nicea 325 CE.Kwanini ?
Nmeuliza swali "Kwanini" ?Hakuna INEC kule. Wako na taratibu zao za toka Mtaguso wa Nicea 325 CE.
Nimekujibu. Huelewi?Nmeuliza swali "Kwanini" ?
Maana yake nahitaji kujua sababu,
Sasa kuna ulazima gani kwa mtu mweusi kuendelea kusali sehemu ambayo anabaguliwa kwa uwazi???Hawezi kutokea papa mweusi, kamweee.
Kwanini "Kamwe" ? umejihakikishiaje hili ?Hawezi kutokea papa mweusi, kamweee.
Bas yaishe, tusichoshane bhana.Kwanini "Kamwe" ? umejihakikishiaje hili ?
Itakuaa, ππππSasa kuna ulazima gani kwa mtu mweusi kuendelea kusali sehemu ambayo anabaguliwa kwa uwazi???
Au kuna ubaguzi mtakatifu
INEC imeingiaje ? HapoNimekujibu. Huelewi?
Sawa.Bas yaishe, tusichoshane bhana.