Mfahamu kwa picha Papa mtarajiwa wa Kanisa Katoliki kutokea Ghana Kadinali Peter Kodwo Appiah Turkson

Mfahamu kwa picha Papa mtarajiwa wa Kanisa Katoliki kutokea Ghana Kadinali Peter Kodwo Appiah Turkson

huwezi kuwa papa mweusi kwenye nchi ambazo hazijakidhi viwango vya ulimwengu

Jitulizeni ,labda Mandela angekuwa kardinal
Wakati Ulaya ukristo uliingia karne ya kwanza kupitia mitume watakatifu wa BWANA Yesu Kristo; Afrika ya weusi ukristo hardly hauna zaidi ya 200 yrs! 200 vs 2000 muwe sawa kweli? Afrika bado; at least 1000 yrs ahead kutoa Papa.
 
INEC imeingiaje ? Hapo

Maswala ya kuchaguliwa papa na INEC yanahusiana vipi ? pengine ndio maana sijakuelewa kwakua mimi nataka kufahamu sababu za msingi kwanini mtu mweusi hawezi kupitishwa ili achaguliwe kuwa papa
Nimeongea kwa mifano maana mna macho hamuoni; mna akili hamuelewi. Enyi vipofu na viziwi!
 
Papa mweusi ni ngumu kwasababu watu weusi wa huku Africa wameshika dini kisawasawa,wakipewa upope watafuta ajenda chafu zote za unyonyaji,mauwaji,kunajisi watoto na kufuta ushoga ndani ya kanisa.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Miongoni mwa wanaopewa nafasi kubwa ya kuwa Papa mpya ni Kardinali Peter Turkson, askofu mkuu kutoka Ghana, ambaye huenda akaweka historia kwa kuwa Papa Mweusi wa kwanza.

Anatajwa kurithi mikoba ya Upapa

Peter Kodwo Appiah Turkson (Born 11 October 1948) is a Ghanaian prelate and cardinal of the Catholic Church who has served as chancellor of the Pontifical Academies of Sciences since 2022.

He was president of the Pontifical Council for Justice and Peace from 2009 to 2017 and the inaugural prefect of the Dicastery for the Promotion of Integral Human Development from 2017 to 2021.

View attachment 3311267View attachment 3311268
But wazungu kamwe hawatamkubali, wakimkubali basi dunia itachukua uelekeo mpya
 
Hiyo Dini ya kibaguzi haitakaa itokee iwe na Papa mweusi Papa mpya ni huyu
Screenshot_20250421_213628_Instagram.jpg
 
Yakibaguzi kivipi wakati kura zinapigwa? Mbona kwenye mpira hamshangai kwanini kombe la dunia lilichezwa mara moja africa? Na huchezwa kila baada ya miaka mitano? .... Kama dunia haitaisha ipo siku atapatikana pope mweusi
 
Wadau hamjamboni nyote?

Miongoni mwa wanaopewa nafasi kubwa ya kuwa Papa mpya ni Kardinali Peter Turkson, askofu mkuu kutoka Ghana, ambaye huenda akaweka historia kwa kuwa Papa Mweusi wa kwanza.

Anatajwa kurithi mikoba ya Upapa

Peter Kodwo Appiah Turkson (Born 11 October 1948) is a Ghanaian prelate and cardinal of the Catholic Church who has served as chancellor of the Pontifical Academies of Sciences since 2022.

He was president of the Pontifical Council for Justice and Peace from 2009 to 2017 and the inaugural prefect of the Dicastery for the Promotion of Integral Human Development from 2017 to 2021.

View attachment 3311267View attachment 3311268
Ni nani alikwambia kuwa atakuwa Papa mweusi wa kwanza? Unadhani mifumo ya upatikanaji wa Papa inazingatia race?
Acheni ramli, upatikanaji wa Papa hauna utaratibu kama wa vyama vya siasa kuwa candidate flani ana nafasi kubwa ya kuwa mtu fulani.
Fuatilia historia ya kanisa utajifunza pakubwa
 
we unaleta sinema ya comedy sasa, wazungu hawawezi kukubali mtu mweusi aketi mahala pa juu palipo inuka kuimiliki dunia.
 
Back
Top Bottom