Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 7,376
- 16,539
Agenda nyingi zinazoenda kinyume na maadili wanazopush wazungu zitakufa akiingia mweusi,hawatakubaliKwanini?

Ukiamka usingizi utajua kuwa hii si ndoto bali jinamizi mwanangu.Wadau hamjamboni nyote?
Miongoni mwa wanaopewa nafasi kubwa ya kuwa Papa mpya ni Kardinali Peter Turkson, askofu mkuu kutoka Ghana, ambaye huenda akaweka historia kwa kuwa Papa Mweusi wa kwanza.
Anatajwa kurithi mikoba ya Upapa
Peter Kodwo Appiah Turkson (Born 11 October 1948) is a Ghanaian prelate and cardinal of the Catholic Church who has served as chancellor of the Pontifical Academies of Sciences since 2022.
He was president of the Pontifical Council for Justice and Peace from 2009 to 2017 and the inaugural prefect of the Dicastery for the Promotion of Integral Human Development from 2017 to 2021.
View attachment 3311267View attachment 3311268
Tutamfungisha ndoa yeye na kadinali pengo tuwafungie chumba kimoja hadi mmoja abebe mimba ndo tunawaachiaAnae kuja ni ana halalisha, stay tuned.
Mbna mtafurahi wenyewee.
Three Popes have come from Africa—all during antiquity. Those pontiffs—Victor I, Miltiades, and Gelasius I—came from Africa Proconsularis.Hakujawahi kuwa na papa mweusi wa kutoka afrika,hao weusi unaowazungumzia walikuwa kutoka katika nchi za ulimwengu wa kwanza japo ni weusi
Inawezekana sana, ngoja sasa uone Ili ushangaeSidhani kama atakuja kutokea papa mweusi
🤣🤣 kwa niniInasikitisha sana
Akojoe nyegeziNdoto za alinacha hizi, em amka weweee, utajikojolea buree. Lol
Kila mmoja anampigia kura mwenzake kwahiyo kati ya hao 135 atayepata kura robo tatu ndiye anakuwa papa, na kuanzia mzinguko wa kwanza hampati majibu ni nani kaongoza au nani kapata kura chache ila mnaambiwa tu zoezi bado linaendelea.Nmeuliza swali "Kwanini" ?
Maana yake nahitaji kujua sababu,
Unadhani papa anachaguliwa kama mwenyekiti wa ccm?Wadau hamjamboni nyote?
Miongoni mwa wanaopewa nafasi kubwa ya kuwa Papa mpya ni Kardinali Peter Turkson, askofu mkuu kutoka Ghana, ambaye huenda akaweka historia kwa kuwa Papa Mweusi wa kwanza.
Anatajwa kurithi mikoba ya Upapa
Peter Kodwo Appiah Turkson (Born 11 October 1948) is a Ghanaian prelate and cardinal of the Catholic Church who has served as chancellor of the Pontifical Academies of Sciences since 2022.
He was president of the Pontifical Council for Justice and Peace from 2009 to 2017 and the inaugural prefect of the Dicastery for the Promotion of Integral Human Development from 2017 to 2021.
View attachment 3311267View attachment 3311268
Na hapo ni kwa upendeleo maalum bila hivyo ingekuwa ndoto mpaka leoYakibaguzi kivipi wakati kura zinapigwa? Mbona kwenye mpira hamshangai kwanini kombe la dunia lilichezwa mara moja africa? Na huchezwa kila baada ya miaka mitano? .... Kama dunia haitaisha ipo siku atapatikana pope mweusi
Mkuu sio kweli kwamba hapajawahi kuwepo na papa mweusi, walishawahi kuwepo tena zaidi ya mmoja. Na yesu mwenyewe alikuwa mweusi! Fanya utafiti wako vizuri.Wadau hamjamboni nyote?
Miongoni mwa wanaopewa nafasi kubwa ya kuwa Papa mpya ni Kardinali Peter Turkson, askofu mkuu kutoka Ghana, ambaye huenda akaweka historia kwa kuwa Papa Mweusi wa kwanza.
Anatajwa kurithi mikoba ya Upapa
Peter Kodwo Appiah Turkson (Born 11 October 1948) is a Ghanaian prelate and cardinal of the Catholic Church who has served as chancellor of the Pontifical Academies of Sciences since 2022.
He was president of the Pontifical Council for Justice and Peace from 2009 to 2017 and the inaugural prefect of the Dicastery for the Promotion of Integral Human Development from 2017 to 2021.
View attachment 3311267View attachment 3311268
Una bli....d?Hawezi kutokea papa mweusi, kamweee.
Hahahahaha mbavu zangu mie! 😅😂🤣Ndoto za alinacha hizi, em amka weweee, utajikojolea buree. Lol