Siku zote papa hutokea sehemu ambako hutoa sadaka nyingiSidhani kama atakuja kutokea papa mweusi
Mpaka moshi ubadilike kutoka mwepe kuja mweusi.Sidhani kama atakuja kutokea papa mweusi
Gealasusi alikuwa wa nchi ganiWalishawahi kuwepo Papa watatu kutoka Afrika nao ni Pope Victor 1 kuanzia mwaka 189 mpaka 199, Pope Miltiades kuanzia 311 mpaka 314 na Pope Gelasius 1 kuanzia 492 mpaka 496.
Papa Francis pia ni mitalianoukisoma history ya Mapapa uyu Francis ndio wa3 kutoka nnje ya Italian wote wenginei walikuwa ni made Italian
Watu weusi tuna shida nyingiSidhani kama atakuja kutokea papa mweusi
Walitoka nchi gani?Walishawahi kuwepo Papa watatu kutoka Afrika nao ni Pope Victor 1 kuanzia mwaka 189 mpaka 199, Pope Miltiades kuanzia 311 mpaka 314 na Pope Gelasius 1 kuanzia 492 mpaka 496.
Ushahidi?Siku zote papa hutokea sehemu ambako hutoa sadaka nyingi
Hakuna nchi ya Afrika yaweza pewa hicho cheo
Kumchagua papa lazima iwe strategic move, na target ni ku-maintain wafuasi wa america ya kusini na kati ambao ni karibu theluthi 2 ya wakatoliki wote duniani.. kumchagua wa asili ya africa itawafanya waanze wapoteza hawa wafuasi. Kule wapo sensitive na race, sio kama sisi.Wadau hamjamboni nyote?
Miongoni mwa wanaopewa nafasi kubwa ya kuwa Papa mpya ni Kardinali Peter Turkson, askofu mkuu kutoka Ghana, ambaye huenda akaweka historia kwa kuwa Papa Mweusi wa kwanza.
Anatajwa kurithi mikoba ya Upapa
Peter Kodwo Appiah Turkson (Born 11 October 1948) is a Ghanaian prelate and cardinal of the Catholic Church who has served as chancellor of the Pontifical Academies of Sciences since 2022.
He was president of the Pontifical Council for Justice and Peace from 2009 to 2017 and the inaugural prefect of the Dicastery for the Promotion of Integral Human Development from 2017 to 2021.
View attachment 3311267View attachment 3311268
Walitokea Afrika ila hawakuwa weusi.Walishawahi kuwepo Papa watatu kutoka Afrika nao ni Pope Victor 1 kuanzia mwaka 189 mpaka 199, Pope Miltiades kuanzia 311 mpaka 314 na Pope Gelasius 1 kuanzia 492 mpaka 496.
Jorge Mario Bergoglio was born in Buenos Aires, Argentina, and was the son of Italian immigrants. He was named a Cardinal by Pope John Paul II in 2001 and was elected pope on March 13, 2013. Pope Francis was the first non-European pope in more than a millennium and the first Latin American pontiff.Ushahidi?
Kila la kheri....Wadau hamjamboni nyote?
Miongoni mwa wanaopewa nafasi kubwa ya kuwa Papa mpya ni Kardinali Peter Turkson, askofu mkuu kutoka Ghana, ambaye huenda akaweka historia kwa kuwa Papa Mweusi wa kwanza.
Anatajwa kurithi mikoba ya Upapa
Peter Kodwo Appiah Turkson (Born 11 October 1948) is a Ghanaian prelate and cardinal of the Catholic Church who has served as chancellor of the Pontifical Academies of Sciences since 2022.
He was president of the Pontifical Council for Justice and Peace from 2009 to 2017 and the inaugural prefect of the Dicastery for the Promotion of Integral Human Development from 2017 to 2021.
View attachment 3311267View attachment 3311268
Wewe ulisema Pope hutokea nchi zinazotoa sadaka nyingi. Nataka ushahidi juu ya hili.Jorge Mario Bergoglio was born in Buenos Aires, Argentina, and was the son of Italian immigrants. He was named a Cardinal by Pope John Paul II in 2001 and was elected pope on March 13, 2013. Pope Francis was the first non-European pope in more than a millennium and the first Latin American pontiff.
Ni heri asiwe mweusi, weusi wenyewe akina askofu kilaini na rushwa za Escrow, aaah hatuwataki banaHawezi kutokea papa mweusi, kamweee.