Ngurubhe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,840
- 1,049
Uhmm,unajua swala la kuingia kimahusiano na mwanamke alikuzdi umri imekuwa km sio utamadn wetu sie wabongo,wakati kuna wadada hata hapa jf wanaishi wameolewa na waume zao wamezidi miaka 20-30...sema hawajadiliwi na eti nikawaida....zari anajadiliwa weee eti kisa umri......