Mfahamu kwa undani Zarinah, mwanamke anayezima Nyota ya Wema Sepetu

Mfahamu kwa undani Zarinah, mwanamke anayezima Nyota ya Wema Sepetu

Umri huu hakuna self made Millionare kwa Waafrika unless mtu atueleze huyu dogo amerithi utajili mkubwa kutoka kwa wazazi.

BTW nimekaa na waganda nchi fulani ng'ambo hawa mambo ya sembe siyo michezo yao ila ni hatari sana hawa watu kwa wizi wa kimtandao kwenye mabenki wana masoftware ya ajabu na wana vichwa vyao vya IT ni hatari tupu.

Let me guess India
Coz nimeshuhudia Hii michezo kwa waganda na wanigeria
 
kwani jack yupo kwenye hatar ? si yupo sehemu salama tu tena jela za wenzetu kule full bata mtu hutaman hata kutoka,ila angefungwa TZ ndo ningemuonea huruma sana,mwache binamu yangu ajaribu zari la mentali.

si bora angefungwa tu ikawa ndio hasara pekee, lakini kakosa mume na hawara, mume shogake kajisevia hawara Vmoney kajimilikisha kuna hasara kubwa kama hiyo mkuu???
 
si bora angefungwa tu ikawa ndio hasara pekee, lakini kakosa mume na hawara, mume shogake kajisevia hawara Vmoney kajimilikisha kuna hasara kubwa kama hiyo mkuu???

bora akose mume na hawara mwenzangu maana uhai muhimu,wanaume wanatafutwa je angenyongwa uhai unatafutwaga?? wanaume wapo kila sampuli as long as bado yupo hai na ana mvuto bhas atapata tu wake.
 
bora akose mume na hawara mwenzangu maana uhai muhimu,wanaume wanatafutwa je angenyongwa uhai unatafutwaga?? wanaume wapo kila sampuli as long as bado yupo hai na ana mvuto bhas atapata tu wake.

hivi atarudi na ule mvuto wake??? itabidi awekwe ndani alishwe kama mzazi kwanza aisee ili kurudisha soko lake kwenye mizani
 
hivi atarudi na ule mvuto wake??? itabidi awekwe ndani alishwe kama mzazi kwanza aisee ili kurudisha soko lake kwenye mizani

uzuri wa mtu haujifichi binamu, unaambiwa ata dhahabu ikiwekwa kwenye moto ni lazima itang'ara tu.... lulu alikaa jela mwaka je mvuto wake ulibadilika ? ndo kwanza anazid kuwa mrembo... Dodo na Queen Elizabeth zipo atarudisha mvuto.
 
zarina mzuriiiiiiii jamaniiiiiii
we peny,katekate,wema na pimbi wengine wotee kwa zarina kasomeni chuoni kwake ila ye hamumpati ng'ooooooooo
na zaryy namba nyingine ileeee
kubali sana mimiiiiii

Sio hao tu genii....
Ni hivi palipo na Zari wengine wote tujikunyante tu pembeni teh! teh! teh!!

Licha ya kwamba kila mtu na mtazamo wake ila wanaomdiss Zari eti mbaya huwa siwaelewi kabisa kule Insta!
Zari mzuri bhana, na ile skin colour yake mmmmmhh mwanamke kapendelewa yule!
 
Hakika huyu kiumbe ni moja ya viumbe ambao Mungu alipoteza muda mwingi sana kuwaumba
Dah I wish ule uzima Wa milele nipate
Akifanya hilo kosa la kunitunuku i promise u atanitangaza kila media za mtoni aisee

Aaah hahahahaaaaa mkuu asante kwa kunifurahisha! Nimecheka sana aiseee
 
Sio hao tu genii....
Ni hivi palipo na Zari wengine wote tujikunyante tu pembeni teh! teh! teh!!

Licha ya kwamba kila mtu na mtazamo wake ila wanaomdiss Zari eti mbaya huwa siwaelewi kabisa kule Insta!
Zari mzuri bhana, na ile skin colour yake mmmmmhh mwanamke kapendelewa yule!

kaumbika kila idara yule ..ni shidaaa
 
Attachments

  • 1421278515109.jpg
    1421278515109.jpg
    35.8 KB · Views: 193
Last edited by a moderator:
Zaria ana miaka 40 tuache kudanganyana, pia nafurahi kusikia ni mmliki wa chuo kikuu hii maana yake anathamini elimu kwahiyo nategemea kuona Diamond akipata shahada yake hapo chuoni hata kwa kubebwabebwa tu yote yanawezekana.

Umekosea kidogo
Mmewe kasema
 
Dada zangu wote hapa jukwaani nawapenda sana tena sana, bila nyinyi maisha hapa hayaendi, hivi ni kweli dada zangu wote hapa hakuna anayemzidi Zari au Linda kwa mvuto na muonekano?

Wacha niishie hapo nilichotaka kuwaambia.
 
Na usisahau Zari kwa kubemenda ni profesional.

Kipindi chegge na Temba wanaenda kuazim gari kwa Ivan walimkuta zari amelala pale na baba watoto wake na tayari kaka naseeb alikua anavinjar

Nina mashaka na hii mimba !!
 
Kwa mixing hiyo...ana haki ya kuwa mrembo hivyo,Zari ni bonge ya demu ndo maana Ivan kumbe anaweweseka haamini kama Dai ndo anakula kitu yake
 
Back
Top Bottom