no doupt zitakuwa ni dirty money, but will u thubutu kuwa punda ili na wewe upange ma ranger na ma vogue uani kwako???
Uhmm,unajua swala la kuingia kimahusiano na mwanamke alikuzdi umri imekuwa km sio utamadn wetu sie wabongo,wakati kuna wadada hata hapa jf wanaishi wameolewa na waume zao wamezidi miaka 20-30...sema hawajadiliwi na eti nikawaida....zari anajadiliwa weee eti kisa umri......
Wivu tu mkuu! Hamna jipya! Tabia ya kuchukia wenye nacho! na waliowazidi kimaisha!
Wapo na madua ya kuku wasubiri downfall ya Zari!
Watasubiri sana
Mamamamae wema akicheza 35 tu majanga aisee she will be a vampire aisee
Honestly sijui kama kuna mwanaune hamtamani Linda
Mungu ambariki sana. Aisee
Zari ndo habareee yani, hatumii nguvu nyingi lakini anakubalika, kweli umaarufu unamfuata...
Diamond alivyopiga show Dar live...watu Zaari, Zaari, tunamtaka zariii...
Ila tatizo nyooota...
Halafu Dinazarde nasikia kawekwa mwarii, kumbe siku zote hizo hajawahi hata kuvunja glass, ndo kaivunja kawekwa ndani na simu kanyang'anywa...
Mrembo by Nature nae nasikia kaenda kuvuna ming'oko ya biashara....ila watarudi tuu...vumilia
Zari ndo habareee yani, hatumii nguvu nyingi lakini anakubalika, kweli umaarufu unamfuata...
Diamond alivyopiga show Dar live...watu Zaari, Zaari, tunamtaka zariii...
Ila tatizo nyooota...
Halafu Dinazarde nasikia kawekwa mwarii, kumbe siku zote hizo hajawahi hata kuvunja glass, ndo kaivunja kawekwa ndani na simu kanyang'anywa...
Mrembo by Nature nae nasikia kaenda kuvuna ming'oko ya biashara....ila watarudi tuu...vumilia
mwenzangu ntakuwa tu ya nini kukaa miaka mia account haijawahi soma hata 10m lol...
Sa unapanic nn mkuu?
He gave u a hint km uko interested y don't u do your own homework?dude plz
We inakuhusu nn
No wonder ndio maana alikuwa anakula vichwa first class vya mjini with VIP status.
Nadhani haya ni matoleo ya mwisho ya uumbaji wa Allah.
Zari yupo juu! Mzuriiiiiiii kuna mwingine nimeona hapo miguu imekomaa ina vigimbiiii.....
Mtoto Zarina ndo habari ya town. Sura kama malaika dah!
Utaambiwa thibitisha ndio utabakia hoi, ila kwakuwa hiyo ni habari njema kwa Maconsevertive hawatakuuliza swali hilo au hautoitwa bata bukini tegemea kupata like za kutosha zikiongozwa na mbeba mabox maarufu.
Mkuu wala sikulaumu kwa hilo..huyo mwanamama kajaaliwa...nashangaa wajinga wajinga wanapagawa na nini na wema sepetu.
Huyo mumewe Kama asipompa haki yake kikamilifu atakuwa hamtendei haki yake.
jokate binamu comedy enzi hizo anagongwa na fa hadi akatoa mimba walikua wanamuita hvyoo
hahahahaaaaaa, uuuwii kama huna familia inayokutegemea jilipuwe shoo, otherwise dont try that at home. hatari yake muulize jack.
tuna PHD za umbealogy wangu