Umri huu hakuna self made Millionare kwa Waafrika unless mtu atueleze huyu dogo amerithi utajili mkubwa kutoka kwa wazazi.
BTW nimekaa na waganda nchi fulani ng'ambo hawa mambo ya sembe siyo michezo yao ila ni hatari sana hawa watu kwa wizi wa kimtandao kwenye mabenki wana masoftware ya ajabu na wana vichwa vyao vya IT ni hatari tupu.
ahahahah ahah ngoja Mrembo by Nature akusikie aseeh
kwani jack yupo kwenye hatar ? si yupo sehemu salama tu tena jela za wenzetu kule full bata mtu hutaman hata kutoka,ila angefungwa TZ ndo ningemuonea huruma sana,mwache binamu yangu ajaribu zari la mentali.
si bora angefungwa tu ikawa ndio hasara pekee, lakini kakosa mume na hawara, mume shogake kajisevia hawara Vmoney kajimilikisha kuna hasara kubwa kama hiyo mkuu???
bora akose mume na hawara mwenzangu maana uhai muhimu,wanaume wanatafutwa je angenyongwa uhai unatafutwaga?? wanaume wapo kila sampuli as long as bado yupo hai na ana mvuto bhas atapata tu wake.
hivi atarudi na ule mvuto wake??? itabidi awekwe ndani alishwe kama mzazi kwanza aisee ili kurudisha soko lake kwenye mizani
zarina mzuriiiiiiii jamaniiiiiii
we peny,katekate,wema na pimbi wengine wotee kwa zarina kasomeni chuoni kwake ila ye hamumpati ng'ooooooooo
na zaryy namba nyingine ileeee
kubali sana mimiiiiii
Hakika huyu kiumbe ni moja ya viumbe ambao Mungu alipoteza muda mwingi sana kuwaumba
Dah I wish ule uzima Wa milele nipate
Akifanya hilo kosa la kunitunuku i promise u atanitangaza kila media za mtoni aisee
Sio hao tu genii....
Ni hivi palipo na Zari wengine wote tujikunyante tu pembeni teh! teh! teh!!
Licha ya kwamba kila mtu na mtazamo wake ila wanaomdiss Zari eti mbaya huwa siwaelewi kabisa kule Insta!
Zari mzuri bhana, na ile skin colour yake mmmmmhh mwanamke kapendelewa yule!
Hivi wewe ni mtaalamu wa umri wa watu?
Umejuaje Zari ana miaka 40?
Zaria ana miaka 40 tuache kudanganyana, pia nafurahi kusikia ni mmliki wa chuo kikuu hii maana yake anathamini elimu kwahiyo nategemea kuona Diamond akipata shahada yake hapo chuoni hata kwa kubebwabebwa tu yote yanawezekana.
Umekosea kidogo
Mmewe kasema
Na usisahau Zari kwa kubemenda ni profesional.
Kwa hiyo na mengi nae anambemensa kyln?
Azungumziwi klyn
Na usisahau Zari kwa kubemenda ni profesional.
Ni kitu kilekile tu, zari mkubwa kwa dai na mengi ni mkubwa kwa kyln lakini kwa vile ni mwanamke basi alichofanya ni kibaya anabemenda.