Mfahamu kwa undani Zarinah, mwanamke anayezima Nyota ya Wema Sepetu

Mbona swali lile lile kila muda!!

Kwa sababu ninayemuuliza hajalijibu licha ya yeye kutoa kauli kuwa huyo mdada ana miaka 40.

Sasa nikuulize na wewe; hilo swali lina ugumu gani?

Manake wewe umenijibu na umesema kwamba umri wake huujui.

Iweje yeye huyo bwana ashindwe kulijibu kama kweli anaujua? Si aseme tu naujua kihivi au kivile......

This is so elementary and his inability to answer my question is proof that he doesn't know and evidence of him talking out of his ass.
 
Swali halina ugumu....

Labda huyo bwana anajua ila hajaamua kulijibu swali lako au hajui sasa anaona akisema hajui na alishasema anajua italeta mushkheli kidogo.
 
Kwanza hakuna sehemu yoyote kwenye rules za JF kunanilazimisha kujibu maswali ya Nyani.

Kwanza alianza kuniuliza mimi ni mzazi wa Zari mpaka nimjuwe umri wake?

Nikamjibu mimi siyo mzazi wa 2pac lakini inajulikana Pac alizaliwa mwaka 1971, pia haihitaji kuwa mzazi Barack pia kujuwa umri wa Barack Obama.

Alipoaendelea na maswali yake yenye mwelekeo wa bangi nikaamuwa kumpuuza.

Mimi nimeishi kwa karibu na Waganda zaidi ya nchi mbili tofauti na hata sasa nina connection nao na nikaeleza ninavyowajuwa mimi Waganda siyo watu wa michezo ya kuuza unga ni wapigaji wa pesa za mabenki hata Wanaigeria hawawapati Waganda kwa wizi huu na wana uwezo mkubwa wa kutengeneza software za kufanikisha wizi wao huu wa mtandao.

Hawa watu wana uwezo wa kuweka kambi Tanzania na wakaagiza mzigo mkubwa ulaya na wakahold mawasiliano ya benki ya Bongo na ya Ulaya na wakatuma Letter of credit mzigo uletwe kwa Matola na terms of payments ni after derivery mzigo ukishafika lap top na software zilizotumika zinapigwa moto na wanahama hotel na idadi ya Marange rover inaongezeka barabarani, mission complete.

Back to swali la kijinga la Nyani airport mtu akija anaonesha passport na hotelini pia anaonesha passport. Asiniulize kama mimi ni uhamiaji?

Good day woza friday.
 
Unaandika gazeti lote hili la nini? Kama unajua si ujibu tu.

Kwanza alianza kuniuliza mimi ni mzazi wa Zari mpaka nimjuwe umri wake?

Usipindishe nilichokuuliza bana. Ni wapi nilipoanza kukuuliza kama wewe ni mzazi wa Zari?

Nikamjibu mimi siyo mzazi wa 2pac lakini inajulikana Pac alizaliwa mwaka 1971, pia haihitaji kuwa mzazi Barack pia kujuwa umri wa Barack Obama.

Alipoaendelea na maswali yake yenye mwelekeo wa bangi nikaamuwa kumpuuza.

Mimi nimeishi kwa karibu na Waganda zaidi ya nchi mbili tofauti na hata sasa nina connection nao na nikaeleza ninavyowajuwa mimi Waganda siyo watu wa michezo ya kuuza unga ni wapigaji wa pesa za mabenki hata Wanaigeria hawawapati Waganda kwa wizi huu na wana uwezo mkubwa wa kutengeneza software za kufanikisha wizi wao huu wa mtandao.

Hawa watu wana uwezo wa kuweka kambi Tanzania na wakaagiza mzigo mkubwa ulaya na wakahold mawasiliano ya benki ya Bongo na ya Ulaya na wakatuma Letter of credit mzigo uletwe kwa Matola na terms of payments ni after derivery mzigo ukishafika lap top na software zilizotumika zinapigwa moto na wanahama hotel na idadi ya Marange rover inaongezeka barabarani, mission complete.

Back to swali la kijinga la Nyani airport mtu akija anaonesha passport na hotelini pia anaonesha passport. Asiniulize kama mimi ni uhamiaji?

Good day woza friday.

Maneno meeeengi lakini hujalijibu swali langu!

Huujui umri wa Zari bali unajishaua na kujishebedua.
 
Sijawahi kuishi India wala sijawahi hata kufikiria kufika nchi hiyo. I hate Indians.

Hahaha the feeling is mutual mpwa
The only difference is I did study there and I worked for them for some years here in dar
Fu.ck Indians
 
Kwanza hakuna sehemu yoyote kwenye rules za JF kunanilazimisha kujibu maswali ya Nyani.

Kwanza alianza kuniuliza mimi ni mzazi wa Zari mpaka nimjuwe umri wake?

Nikamjibu mimi siyo mzazi wa 2pac lakini inajulikana Pac alizaliwa mwaka 1971, pia haihitaji kuwa mzazi Barack pia kujuwa umri wa Barack Obama.

Alipoaendelea na maswali yake yenye mwelekeo wa bangi nikaamuwa kumpuuza.

Mimi nimeishi kwa karibu na Waganda zaidi ya nchi mbili tofauti na hata sasa nina connection nao na nikaeleza ninavyowajuwa mimi Waganda siyo watu wa michezo ya kuuza unga ni wapigaji wa pesa za mabenki hata Wanaigeria hawawapati Waganda kwa wizi huu na wana uwezo mkubwa wa kutengeneza software za kufanikisha wizi wao huu wa mtandao.

Hawa watu wana uwezo wa kuweka kambi Tanzania na wakaagiza mzigo mkubwa ulaya na wakahold mawasiliano ya benki ya Bongo na ya Ulaya na wakatuma Letter of credit mzigo uletwe kwa Matola na terms of payments ni after derivery mzigo ukishafika lap top na software zilizotumika zinapigwa moto na wanahama hotel na idadi ya Marange rover inaongezeka barabarani, mission complete.

Back to swali la kijinga la Nyani airport mtu akija anaonesha passport na hotelini pia anaonesha passport. Asiniulize kama mimi ni uhamiaji?

Good day woza friday.

Kuhusu waganda no doubt mpwa juzi tu nimeshuhudia princess Cassino kuna mganda aliajiliwa anaitwa Harrison
Alichowafanya duuu
Mr ilham na madirector wenzie sijui kama wataajiri mganda tena
 
Toka lini kunanii kunazeesha na kukuza umri, acha wivu wakijinga.

Umesoma lakini biology au unaongea kwa ubishi? Jitombeshe hovyo kama Zari uone baada ya mwaka utaonekanaje usoni. Unafikiri kule kukunja uso kwa hisia ya uchungu na utamu wa kumeza miti ya kila aina kunako nanihii ni rahisi? Jaribu kisha rudi hapa badala ya mwaka utoe ushuhuda.
 
Akili yako ni finyu full wivu, lol so unakunjaga uso na umezeeka duh, lazima unatisha. as haujiheshimu full mdomo mchafu kama full mwili. Eti kusoma mmmh achia hapo maana hauyawezi.

Umeona uso wake umekunjika, mfyuuuuu.
 
Duuh, watu hawaoni jinsi mtoto wa kike anavyojua kutafuta hela ila wamekazana na umri wake na cosmet....
 
Back
Top Bottom