Na wewe bila kuja na facts haiondoi ufinyu wako wa kufikiri mimi nimekosea, narudia, ni ngumu China kuongoza Kitechnology...
Wewe njoo facts zako, mtu anafanya copy paste 2025 leo unasemaje anaweza ongoza?
Yani mko darasani wawili mwenzako anajibu mtihani wewe unamkopi unasema atakuongoza?
Hakuna reply niliyosoma nikacheka kama hii 😂😂 kuna kitu kinaitwa technology transfer pia kuna invention halafu kuna innovation .
era of invention ilishapita kwa sasa tupo kwenye era of rapid innovation hakuna kipya alichovumbua USA zaidi ya ku "innovate" yale yaliyokwisha kuvumbuliwa na ndicho anachofanya china , kama una invention yoyote ground breaking aliyofanya USA ambayo haikuwahi kufanywa kabla unaweza kuniwekea hapa mkuu ila china ana ground breaking invention ambayo kama akifanikiwa ku stabilize atabadili uelekeo wa dunia ki teknolojia tafuta kuhusu "Artificial sun" .
Ku invent new technology kwa era tuliyopo inahitaji effort kubwa zaidi hasa academically ndiyo maana watu wanaendelea kusoma zaidi na si kwa USA tu japan kuanzia mwaka 1991 waliwekeza kutengeneza underground "Neutrino observatories" project ambazo zinatarajiwa kumalizika 2027.
Na kama ulikuwa haujui tu USA kuna fields za kitechnolojia ndo yupo vizuri ila kuna nyengine ameachwa sana na nchi nyengine nitalist kwa uchache.
USA yupo vizuri kwenye fields hizi hapa : millitary tech, software , space exploration ( kwa sasa anawapinzani wengi tu ) , A.I (welp kabla ya deepseek 😂)
JAPAN: LEAD in Robotics and manufacturing
CHINA : LEAD in AI and Supercomputing
SOUTH KOREA: LEAD in semiconductor and internet ( pia hapa amepata mpinzani mpya kikwazo walichomuwekea mchina kimemfanya avumbue chipset zake )
GERMANY : LEAD in Automotives and Engineering
SWITZERLAND : LEAD in precision science and pharmaceutical.
N.B
USA anapoona threat huwa anaweka vikwazo sasa hebu fuatilia vikwazo alivyomuwekea china kuanzia miaka 10 nyuma halafu uje hapa 😄 .