joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Yaah na mpongeza sababu amatengeneza kitu kile kile kinacho fanya kazi ile ile kwa gharama nafuu ni akili ametumia.Unajua wewe kuna kitu huelewi, kwanza kabisa wiki ilopita nilikuwa nazichalenge Chatgpt na Deepseek kwa pamoja ila ilionekana Deepseek hainielewi, sikuchukua screenshot...
kwamba unamsifu mchina kwa kutumia gharama nafuu na chip za kiwango cha chini kutengeza kitu kilekile?
Mkuu mbona bado hiyo Deepseek haina ufanisi unaodai hapa? Umezichunguza kweli zote 2?
Ametumia Chips za kawaida maana yake hata designed yake ni tofauti na ameifanya kutokana na chips alizokuwa nazo hii nayo ni akili au wewe kwako NENO AKILI KWAKO NINI?
Sasa ikiw hao watabe wa AI wa US wanaosema DeepSeek ipo vizuri, mimi na wewe kwa nini tukatae maana hata lab tu za kuzijaribu hizi model hamna.
View: https://m.youtube.com/watch?v=WEBiebbeNCA&pp=ygUoRWZmaWNpZW5jeSBvZiBEZWVwc2VlayB0byBvdGhlciBBSSBtb2RlbA%3D%3D
Tokea uanze kufuatilia maswala ya tech,hivi kuna tech gani iliitetemesha tech za US kama Deepseek.
Kumbuka hapo katumia gharama ndogo na chips za kawaida still amaetoa product nzuri na inafanya vizuri sokoni, pata picha akiwa na hela na Chips ambazo powerful umazani itakuwaje na haya ndio maswali US wanajiuliza kwenye forums zao nyingi za tech.