Mfahamu Lean Feng Wang, mmiliki wa AI ya Deep Seek ambayo ni tishio kubwa kwa CHATGPT

Yaah na mpongeza sababu amatengeneza kitu kile kile kinacho fanya kazi ile ile kwa gharama nafuu ni akili ametumia.

Ametumia Chips za kawaida maana yake hata designed yake ni tofauti na ameifanya kutokana na chips alizokuwa nazo hii nayo ni akili au wewe kwako NENO AKILI KWAKO NINI?

Sasa ikiw hao watabe wa AI wa US wanaosema DeepSeek ipo vizuri, mimi na wewe kwa nini tukatae maana hata lab tu za kuzijaribu hizi model hamna.

View: https://m.youtube.com/watch?v=WEBiebbeNCA&pp=ygUoRWZmaWNpZW5jeSBvZiBEZWVwc2VlayB0byBvdGhlciBBSSBtb2RlbA%3D%3DTokea uanze kufuatilia maswala ya tech,hivi kuna tech gani iliitetemesha tech za US kama Deepseek.

Kumbuka hapo katumia gharama ndogo na chips za kawaida still amaetoa product nzuri na inafanya vizuri sokoni, pata picha akiwa na hela na Chips ambazo powerful umazani itakuwaje na haya ndio maswali US wanajiuliza kwenye forums zao nyingi za tech.
 
Vijana UDSM wameshindwa hata ku renema deepsik na chatgpt wakaipa nickname yao? huu ubwege huu.. Africa yote tumeshindwa tunamwaza tu Kagame
Hii nchi inakwama kwenye Vumbuzi, au kuwa mbele kwenye Technology kutokana na Lugha kutokuwa rafiki. Ukitaka kupata maarifa mengi yanapitikana kwenye lugha ya Kingereza, na hapo ndio tatizo linapoanzia.

Me ningependa kushauri kama Kingereza kimekuwa changamoto, basi tuwekeze kwenye kuongeza wafasiri wa lugha wawe wa kutosha ambao wanaweza kusaidia maarifa kupenya kwa urahisi zaidi, na pia kiswahili kiongezewe maneno mengi zaidi maana kina uhaba wa maneno.
 
Mkuu, sikujua kuwa Deepseek ni product ya majaribio hadi nilipokusoma!
 
china ana ground breaking invention ambayo kama akifanikiwa ku stabilize atabadili uelekeo wa dunia ki teknolojia tafuta kuhusu "Artificial sun" .
Hii nayo wala sio invention bali innovation , hiyo artificial sun anayopambana kujenga Mchina ni sawia na mradi kimataifa unaoendelea ufaransa (International Thermonuclear Experimental Reactor) , dhumuni likiwa ni kuzalisha umeme kwa kupitia joto linalozalishwa na process ya nuclear fusion (hii ndio namna jua linachakata nishati yake)
 

Attachments

  • fusion-reactor-feature-2719498750.jpg
    1.1 MB · Views: 1
Copy paste ni cage ya kiakili, ndivyo ilivyo
Sidhani ni complete copy and paste, kwa makala kadha wa kadha nilizopitia inaonesha Mchina katumia somewhat njia tofauti kufikia results zile zile, kutokana na vikwazo alivyowekewa kupata chips iliwabidi wabuni njia ya kufanya more with less; deep seek Iko much more efficient kuliko chatgpt kwa jinsi inavyochakata taarifa za kuzifanyia kazi
Yaani ukiwa na zile computer za MacBook pro 5 au 6 tu inatosha kuidownload yote na ukaitumia offline kama you're own personal AI
 
Hapo umetaja deepseek na ChatGPT, mchina amecopy tech nyingi saaaana kutoka Marekani, hadi social networks. Ukiachana na ubishi na chuki zetu dhidi ya US hasa sisi watu wa Africa na Uarabuni, US iko mbali mno dhidi ya China.
 
Vijana UDSM wameshindwa hata ku renema deepsik na chatgpt wakaipa nickname yao? huu ubwege huu.. Africa yote tumeshindwa tunamwaza tu Kagame
Kuna Mzimbabwe katutoa waafrika kimasomaso kwenye suala la nguvu za umeme.
Labda vijana wetu nao wameanza kujielewa...usiwadharau sana.
 
Kuna Mzimbabwe katutoa waafrika kimasomaso kwenye suala la nguvu za umeme.
Labda vijana wetu nao wameanza kujielewa...usiwadharau sana.
Kama unaongelea bwana Maxwell basi fahamu kwamba kuna uwezekano ni tapeli
 
Mkuu unafikiri hawakuelewi basi? Ni vile kukaza kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…