Mfahamu Mchungaji kutoka Afrika aliyealikwa kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Trump

Mchungaji wake aliyekuwa Tanzania, Arusha na Dar es salaam, alivuruga Maisha yake yote kwa Sababu ya Hilo Kanisa na taratibu zao, na sasa yupo Kinondoni anakula beer!

#false
Hata Yuda aliyekuwa miongoni mwa wanafunzi wa "Mchungaji Mkuu" Yesu, alijinyonga. Kujinyonga kwa Yuda hakumfanyi Yesu kuwa false prophet.
#true
 
Hata Yuda aliyekuwa miongoni mwa wanafunzi wa "Mchungaji Mkuu" Yesu, alijinyonga, Kujinyonga kwa Yuda hakumfanyi Yesu kuwa false prophet.
#true

Deeper life isn’t a straight Pentecostal church!
 
As far as I know, Deeper Life Bible Church teaches and adheres to all foundational Pentecostal doctrines and practices. To elucidate, a Pentecostal church is fundamentally characterized by its emphasis on the baptism of the Holy Spirit, as evidenced by speaking in tongues, a profound reverence for the gifts and fruits of the Spirit, and a commitment to the literal interpretation of the Scriptures. Pentecostalism is distinguished by its ardent proclamation of the need for personal salvation, sanctification as a second work of grace, Spirit-filled living, and the anticipation of Christ’s imminent return. Deeper Life Bible Church embodies these principles with remarkable fidelity. It prioritizes holiness of life, Spirit-led worship, fervent prayer, and an unyielding adherence to biblical doctrines—all hallmark attributes of Pentecostal orthodoxy.

Moreover, Deeper Life accentuates evangelism and discipleship, which are intrinsic to Pentecostal missiology. Its teachings resonate with the core tenets of Pentecostal theology, including the transformative power of the Holy Spirit and the call to live a life of consecration and divine empowerment. So, the assertion that Deeper Life Bible Church deviates from Pentecostalism lacks substantive grounding, as its doctrinal framework and praxis align unequivocally with the quintessential hallmarks of the Pentecostal movement.
 
Deeper Life isn’t a straight Pentecostal church, ni wahuni
 
Ukikosa hoja za kujibu, si heri ukae kimya kuliko kuwatukana Watu wa Mungu? I have explained to you the Pentecostal characteristics of that church. Now, why don’t you provide arguments to counter that?
A straight Pentecostal Church typically upholds fundamental doctrines such as salvation by grace through faith in Christ, the baptism of the Holy Spirit evidenced by speaking in tongues, emphasis on holiness, and active evangelism. Deeper Life Church adheres to these principles. If you disagree, kindly present your reasoning.
 
Wala sina mda wa kupoteza kulumbana Najua Deeper life is a scam!!!!!
 
Kama huna muda wa kupoteza, mbona sasa umetumia muda mwingi ku-comment hapa? Ulidanganywa kuwa Deeper Life ni "scam" na wewe ukakubali bila kuhoji u-scam wao ni upi. Pole.

Xo xo xo
 
Mchungaji William Folorunsho Kumuyi ni Mchungaji Mwafrika, aliyepata heshima ya kualikwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, tarehe 20/1/2025. Mchungaji huyo alipata nafasi ya kushiriki ibada rasmi ya kumuombea Rais Trump. Mchungaji huyo ni nani hasa na kwanini alialikwa? Mchungaji Kumuyi ni Askofu Mkuu, au kama anavyojulikana zaidi “Mwangalizi Mkuu” na Mwanzilishi wa Kanisa la “Deeper Life Bible Church” lenye makao yake makuu Gbagada, Lagos, Nigeria. Alizaliwa tarehe 6 Juni 1941. Kabla hajapata wito wa kuwa Mchungaji , alikuwa Profesa wa Hesabu katika Chuo Kikuu cha Lagos, Nigeria.

Kanisa la Deeper Life alilianzisha mwaka 1973 likiwa na watu wachache lakini sasa lina mamilioni ya waumini katika nchi mbalimbali duniani. Mchungaji Kumuyi anaheshimiwa sana kwa jinsi asivyopenda makuu na pia kwa jinsi alivyo mnyenyekevu. Mchungaji Kumuyi amejitoa kufundisha Neno la Mungu huku akiweka msisitizo kuhusu utakatifu na haki. Chini ya uongozi wake, jengo la Kanisa hilo lina uwezo wa kuketisha watu 30,000 kwa wakati mmoja. Kanisa hilo kila Jumapili linakuwa na ibada tano zinazohudhuriwa na washirika wapatao 150,000. Kanisa hilo lina matawi Marekani, Uingereza, Ujerumani, Canada, India, Dubai na nchi kadhaa za Afrika. Mchungaji Kumuyi, katika mafundisho yake, anaeleza kwamba wokovu unapatikana kwa imani katika Yesu Kristo, na kwamba ni muhimu mtu apate utakaso na kuishi maisha matakatifu ili aweze kumuona Mungu(Ebr 12:14).

Yamkini hizo ndizo sababu zilizomfanya Mchungaji Kumuyi apate heshima ya kupata mwaliko huo wa kipekee. Kitendo cha kualikwa kwa Mchungaji Kumuyi katika sherehe ya uapisho wa Rais Trump, kinaonyesha wazi dhamira aliyo nayo Rais Trump ya kulinda na kukuza uhuru wa kuabudu nchini Marekani na kimataifa.

View attachment 3211047
Mchungaji William Kumuyi
Sasa ndio wamsahau Mwamposa kweli asee...???
 
Deeperlifechoir.jpg

Mchungaji Kumuyi ana matawi mengi ya Kanisa la Deeper Life, mijini na vijijini, Nigeria. Hiyo ni kwaya ya mojawapo ya Matawi ya Kanisa hilo.

Washirika wa Kanisa hilo(Kinamama) wanapokuwa kanisani huvaa vilemba kufunika nywele zao. Wanafanya hivyo kwa kufuata andiko la 1 Wakorintho 11:5(NEN)
"Naye kila mwanamke anayeomba au kutoa unabii pasipo kufunika kichwa chake, anakiaibisha kichwa chake, kwani ni sawa na yeye aliyenyoa nywele."

Andiko hilo ni mojawapo ya Maandiko yenye mitazamo au maoni tofauti miongoni mwa Wakristo. Ukifuatilia video za Mchungaji huyo katika chaneli yake ya Youtube au Facebook, Mchungaji Kumuyi ametoa ufafanuzi wa kutosha kwanini Washirika wa Deeper Life(Kinamama) wanapaswa kufunika nywele wasalipo. Hata hivyo Mchungaji Kumuyi aliwahi kusema kwamba Kinamama wa Kanisa hilo huwa wanapitiliza; yaani wanavaa vilemba wakati wote, hata wakati usio wa kusali/kuomba!! Aliwaasa pia kwamba anapokuja mama mgeni katika Kanisa hilo, asiyefunikwa kichwa, wasimlazimishe kufunika kichwa, kwakuwa hajui andiko hilo lina maana gani.
 
Hivi Trump anajua ukristu ni biashara?
Soma Biblia(Mathayo, Luka, Marko...) utafakari vizuri maisha ya Yesu ndio utajua Ukristo wa kweli sio biashara. Kwa maneno machache tunaweza kusema: Ukristo ni maisha ya kumfuata Yesu Kristo. Ukristo ni kufuata nyayo za Yesu Kristo. Ni kutenda yote aliyoyaagiza...
Wanaofanya biashara chini ya mwavuli wa Ukristo, hao ni "mbwa mwitu" Biblia inawaita Manabii wa uongo. Soma Mathayo 7:15 (NEN). Jihadharini na manabii wa uongo, wanaowajia wakiwa wamevaa mavazi ya kondoo, lakini ndani ni mbwa mwitu wakali.

Soma Biblia kwa makini, utajua jinsi ya kuwatambua manabii wa uongo na kujiepusha nao wasile pesa zako bure.
 
Mchungaji William Folorunsho Kumuyi ni Mchungaji Mwafrika, aliyepata heshima ya kualikwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, tarehe 20/1/2025. Mchungaji huyo alipata nafasi ya kushiriki ibada rasmi ya kumuombea Rais Trump. Mchungaji huyo ni nani hasa na kwanini alialikwa? Mchungaji Kumuyi ni Askofu Mkuu, au kama anavyojulikana zaidi “Mwangalizi Mkuu” na Mwanzilishi wa Kanisa la “Deeper Life Bible Church” lenye makao yake makuu Gbagada, Lagos, Nigeria. Alizaliwa tarehe 6 Juni 1941. Kabla hajapata wito wa kuwa Mchungaji , alikuwa Profesa wa Hesabu katika Chuo Kikuu cha Lagos, Nigeria.

Kanisa la Deeper Life alilianzisha mwaka 1973 likiwa na watu wachache lakini sasa lina mamilioni ya waumini katika nchi mbalimbali duniani. Mchungaji Kumuyi anaheshimiwa sana kwa jinsi asivyopenda makuu na pia kwa jinsi alivyo mnyenyekevu. Mchungaji Kumuyi amejitoa kufundisha Neno la Mungu huku akiweka msisitizo kuhusu utakatifu na haki. Chini ya uongozi wake, jengo la Kanisa hilo lina uwezo wa kuketisha watu 30,000 kwa wakati mmoja. Kanisa hilo kila Jumapili linakuwa na ibada tano zinazohudhuriwa na washirika wapatao 150,000. Kanisa hilo lina matawi Marekani, Uingereza, Ujerumani, Canada, India, Dubai na nchi kadhaa za Afrika. Mchungaji Kumuyi, katika mafundisho yake, anaeleza kwamba wokovu unapatikana kwa imani katika Yesu Kristo, na kwamba ni muhimu mtu apate utakaso na kuishi maisha matakatifu ili aweze kumuona Mungu(Ebr 12:14).

Yamkini hizo ndizo sababu zilizomfanya Mchungaji Kumuyi apate heshima ya kupata mwaliko huo wa kipekee. Kitendo cha kualikwa kwa Mchungaji Kumuyi katika sherehe ya uapisho wa Rais Trump, kinaonyesha wazi dhamira aliyo nayo Rais Trump ya kulinda na kukuza uhuru wa kuabudu nchini Marekani na kimataifa.

View attachment 3211047
Mchungaji William Kumuyi
Mwamposa hajaenda?
 
Back
Top Bottom