It is unwise to make unfounded accusations against God’s servants. The Bible reminds us in 1 Chronicles 16:22, “Do not touch my anointed ones...” Let us focus on building one another in faith rather than spreading baseless claims.CIA Asset
Hawa wa kwetu lugha inawaponza. Tanzania hatujulikani kimataifa maana tumejifungia na siasa yetu ya ujamaa. Imeathiri hadi kanisa.Hili kanisa la Deeper Life lipo mpaka Tanzania, nimeliona Moshi na Singida. Hata la prophet bushiri yule wa south africa lipo Tanzania. Hata haya makanisa ya Tanzania kuna nchi yapo. Wachungaji wa kinigeria wanajulikana sana nje ya nchi yao kuliko hawa wa kwetu. Sijui kama kina Tramp wanawajua kina mwamposa, geo devie, mtokambali, lusekolo, malasusa nao waalikwe kuhudhuria dhifa zao huko marekani
Huyu mzee nadhani ndiye baba wa kiroho wa Bishop Kakobe. Maana mafundisho yao yanafanana.Mchungaji William Folorunsho Kumuyi ni Mchungaji Mwafrika, aliyepata heshima ya kualikwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, tarehe 20/1/2025. Mchungaji huyo alipata nafasi ya kushiriki ibada rasmi ya kumuombea Rais Trump. Mchungaji huyo ni nani hasa na kwanini alialikwa? Mchungaji Kumuyi ni Askofu Mkuu, au kama anavyojulikana zaidi “Mwangalizi Mkuu” na Mwanzilishi wa Kanisa la “Deeper Life Bible Church” lenye makao yake makuu Gbagada, Lagos, Nigeria. Alizaliwa tarehe 6 Juni 1941. Kabla hajapata wito wa kuwa Mchungaji , alikuwa Profesa wa Hesabu katika Chuo Kikuu cha Lagos, Nigeria.
Kanisa la Deeper Life alilianzisha mwaka 1973 likiwa na watu wachache lakini sasa lina mamilioni ya waumini katika nchi mbalimbali duniani. Mchungaji Kumuyi anaheshimiwa sana kwa jinsi asivyopenda makuu na pia kwa jinsi alivyo mnyenyekevu. Mchungaji Kumuyi amejitoa kufundisha Neno la Mungu huku akiweka msisitizo kuhusu utakatifu na haki. Chini ya uongozi wake, jengo la Kanisa hilo lina uwezo wa kuketisha watu 30,000 kwa wakati mmoja. Kanisa hilo kila Jumapili linakuwa na ibada tano zinazohudhuriwa na washirika wapatao 150,000. Kanisa hilo lina matawi Marekani, Uingereza, Ujerumani, Canada, India, Dubai na nchi kadhaa za Afrika. Mchungaji Kumuyi, katika mafundisho yake, anaeleza kwamba wokovu unapatikana kwa imani katika Yesu Kristo, na kwamba ni muhimu mtu apate utakaso na kuishi maisha matakatifu ili aweze kumuona Mungu(Ebr 12:14).
Yamkini hizo ndizo sababu zilizomfanya Mchungaji Kumuyi apate heshima ya kupata mwaliko huo wa kipekee. Kitendo cha kualikwa kwa Mchungaji Kumuyi katika sherehe ya uapisho wa Rais Trump, kinaonyesha wazi dhamira aliyo nayo Rais Trump ya kulinda na kukuza uhuru wa kuabudu nchini Marekani na kimataifa.
View attachment 3211047
Mchungaji William Kumuyi
Hivi mtu aliyeita taifa lako ‘Shithole country’ (shimo la mavi / shimo la choo), siku akikualika, maana yake amealika mtu aliyetoka shimo la mavi, kama sio toilet paper inayotoka humo shimoni ni nini? Hivi Akili mnaachaga wapi nyie wenzetu, mi ningeukataa huo mwaliko kama alivyofanya ‘Ibrahim Traore’..Aliyesema amekosa watu wa kumuombea ni nani? Hiyo ni ishara kwamba Waafrika wanaofanya vizuri Trump anawathamini. By the way, huyo Mchg. Kumuyi ana wamisionari waliotoka Nigeria wanaohubiri Injili ya nguvu hukohuko kwa Trump. Kwahiyo usifikiri Trump alimchagua Mchg huyo bila kujua ni mtu wa namna gani. Anaheshimika ulimwenguni. Leo wewe unamvunjia heshima Mtumishi huyo wa Mungu kwa kumfananisha na toilet paper? Mungu akusamehe bure asikuhesabie huo uovu. Biblia inasema kila anayestahili heshima, apewe heshima.
Ghana, Zambia, Kenya, hao nao lugha inawaponza? Mbona hakuna Mchg aliyealikwa kutoka katika nchi hizo? Huyo Mchg ana kitu cha ziada. Wangapi wana makanisa(single congregation) ya watu takriban laki na nusu wanaohudhuria ibada kila Jumapili?Hawa wa kwetu lugha inawaponza. Tanzania hatujulikani kimataifa maana tumejifungia na siasa yetu ya ujamaa. Imeathiri hadi kanisa.
Toilet paper zikiingia katika shimo la choo huwa zinatoka tena na kutumika? Mbona unajichanganya ndugu? Halafu wewe uzuie ulimi wako usinene matusi yasije yakakupata yaliyowapata kina Miriam na Haruni kwa kumnenea mabaya Mtumishi wa Mungu, Musa.Hivi mtu aliyeita taifa lako ‘Shithole country’ (shimo la mavi / shimo la choo), siku akikualika, maana yake amealika mtu aliyetoka shimo la mavi, kama sio toilet paper inayotoka humo shimoni ni nini? Hivi Akili mnaachaga wapi nyie wenzetu, mi ningeukataa huo mwaliko kama alivyofanya ‘Ibrahim Traore’..
Umeandika vizuri sana na lugha rahisi inayoeleweka, hongeraYamkini hizo ndizo sababu zilizomfanya Mchungaji Kumuyi apate heshima ya kupata mwaliko huo wa kipekee. Kitendo cha kualikwa kwa Mchungaji Kumuyi katika sherehe ya uapisho wa Rais Trump, kinaonyesha wazi dhamira aliyo nayo Rais Trump ya kulinda na kukuza uhuru wa kuabudu nchini Marekani na kimataifa.
Alikuwa Prof akiwa na miaka 32, hongera zakeAlizaliwa tarehe 6 Juni 1941. Kabla hajapata wito wa kuwa Mchungaji , alikuwa Profesa wa Hesabu katika Chuo Kikuu cha Lagos, Nigeria.
Kanisa la Deeper Life alilianzisha mwaka 1973 likiwa na watu wachache lakini sasa lina mamilioni ya waumini katika nchi mbalimbali duniani.
Na wewe ni muumini wa hilo kanisa au umesoma tu taarifa zake?As far as I know, Deeper Life Bible Church teaches and adheres to all foundational Pentecostal doctrines and practices. To elucidate, a Pentecostal church is fundamentally characterized by its emphasis on the baptism of the Holy Spirit, as evidenced by speaking in tongues, a profound reverence for the gifts and fruits of the Spirit, and a commitment to the literal interpretation of the Scriptures. Pentecostalism is distinguished by its ardent proclamation of the need for personal salvation, sanctification as a second work of grace, Spirit-filled living, and the anticipation of Christ’s imminent return. Deeper Life Bible Church embodies these principles with remarkable fidelity. It prioritizes holiness of life, Spirit-led worship, fervent prayer, and an unyielding adherence to biblical doctrines—all hallmark attributes of Pentecostal orthodoxy.
Moreover, Deeper Life accentuates evangelism and discipleship, which are intrinsic to Pentecostal missiology. Its teachings resonate with the core tenets of Pentecostal theology, including the transformative power of the Holy Spirit and the call to live a life of consecration and divine empowerment. So, the assertion that Deeper Life Bible Church deviates from Pentecostalism lacks substantive grounding, as its doctrinal framework and praxis align unequivocally with the quintessential hallmarks of the Pentecostal movement.
Yule sio mchungaji bali mpotoshajiTuletee na yule mchungaji aliyeomba mashoga wapewe uhuru..dini ya mchongo.
Amepewa neema ya ajabu. Nafikiri ujuzi wake mkubwa wa mahesabu ndio uliomuwezesha kubuni jengo kubwa la Kanisa linaloketisha watu 30,000 kwa wakati mmoja. Try to imagine, jengo hilo halina columns ndani. Huyo ni zaidi ya Prof wa hesabu. Anastahili kuitwa Construction Engineer with expertise in applied mathematics.Alikuwa Prof akiwa na miaka 32, hongera zake
Trump sio Rais wa dunia, sema tu wa taifa kubwaKwa kweli anastahili hongera. Kutambuliwa na "rais wa dunia" sio mchezo
Ghana, Zambia, Kenya, hao nao lugha inawaponza? Mbona hakuna Mchg aliyealikwa kutoka katika nchi hizo? Huyo Mchg ana kitu cha ziada. Wangapi wana makanisa(single congregation) ya watu takriban laki na nusu wanaohudhuria ibada kila Jumapili?
Kizungu kingi sanaTo the extent of my discernment, such an allegation leveled against Pastor W.F. Kumuyi is entirely spurious and devoid of any substantive merit. Pastor Kumuyi is an unequivocal adherent of Pentecostal orthodoxy, whose doctrinal expositions are firmly rooted in the immutable teachings of Christ as delineated in Scripture. His ministry is characterized by an unwavering emphasis on sanctification, righteousness, and the observance of Christ's precepts, in alignment with the Great Commission as articulated in Matthew 28:19-20, wherein Christ enjoined His disciples to "make disciples of all nations... teaching them to observe all things whatsoever I have commanded you."
To designate him a "false prophet" and his church "false" is an egregious misrepresentation, tantamount to contravening the divine injunction against bearing false witness (Exodus 20:16). Pastor Kumuyi’s ministry and personal life incontrovertibly exemplify the manifestation of the fruits of the Spirit, as enumerated in Galatians 5:22-23, thereby corroborating the authenticity of his divine calling. Such aspersions are not merely unfounded but betray a profound disregard for the integrity of a ministry steadfastly anchored in the inerrancy of God’s Word.