Mfahamu Meja Jenerali Muhiddin Kimario. Ukisikia mzalendo ndio huyu

humpati wa hivi kwa kipindi Cha Sasa walivyo wabinafsi
 
hapa ndo ninapoichukia tz story Kama hizi zilipaswa zitolewe na chanel au gazeti la jeshi kuleta hamasa na kutunza heshima Ila Sasa kwetu mwanajeshi kuogopwa ndo sifa
 
Msukuma yule aliyepooza ni ndugu yangu; sina taarifa zake kwa muda mrefu sana, na wala sijui kama bad yupo hai. Ila enzi zake alikuwa anakula bata sana na pia alikuwa na maisha ya hatari na ya usiri sana; aliponea kuuwawa mara nyingi sana ndani na nje ya nchi.
 
hapa ndo ninapoichukia tz story Kama hizi zilipaswa zitolewe na chanel au gazeti la jeshi kuleta hamasa na kutunza heshima Ila Sasa kwetu mwanajeshi kuogopwa ndo sifa
tanzania hatujui kutumia opportunity, vipo vingi tu tumeshindwa kuvitumia vizuri mfano; rasilimali nyingi za kuvutia watalii ambazo zingetuwezesha kupandisha zaidi GDP lakini hatuzioni, wakenya wangefanikiwa kuwa na amani na mafanikio ya kijeshi na viongozi wazalendo kama tanzania, wangekuwa mbali sana, lakini ahsante sana magu, pamoja na mapungufu mengi umeanza kutuamsha
 
Kuna hoja ya ukabila pia hapo labda
 
Next 2025 anatakua mpentekoste,
Hii ya wakatoliki ni mpaka leo mkuu, inavyosemekana ukiwa muislam huwez kuongoza nchi km sio mslamu wa Bakwata, na ukiwa mkristo lazma uwe Catholic na ndio sababu pia ya kumkata mamvi (ukaskazini+Ulutheran)
 
tatizo la huyu 'mangi' lilikuwa ufisadi na ma-deal, hata mwalimu alikuwa anaishi naye kimachale machale tuu……………….
 
Kama hujui kisa cha Tamimu kuasi na kujiunga na uasi dhini ya sirikali kilikuwa ni hasira za kuingizwa 'choo cha kike' na 'wanene' akiwa kama mwana usalama wa jeshi
 
Kisa cha Kanali Mahfoudh nacho ni cha kusisimua sana. Kinahitaji uzi wake maalum. Amefariki miaka ya hivi karibuni akiwa kapata hadhi ya utumishi uliotukuka wa idara nyeti huko Msumbiji
Naam pamepita miamba nchi hii ambayo haikuwa midomoni wala vitabuni ila ilofanya mambo yaliyotukuka nchini petu.
 
Kumbe alitoka kwa mkulu mwenyewe.. kumbe kelele zote za ukabila yeye alijaza wadosi tuu toka musoma.haaa
Yaah tena majirani kabisa nadhani mwendo wa dakika kumi kwa miguu kutoka kwa mwalimu mpaka kwa geral
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…