Mfahamu Millard Ayo

Mfahamu Millard Ayo

Akiwaachia wengine pia na yeye atadrop.
Sababu kwa watu wasio fuatilia mitandao ya kijamii wamemfahamu kupitia Clouds FM Hivyo akiacha na yeye atakuwa na pengo kubwa kwenye kujibrand.
Kwa iyo ni Parasite, Hawezi bila clouds!?
 
Vipi kuhusu mahusiano yake, sijawahi kumuona akihusiana na baby yoyote

Au wenzangu mnamjua mpenzi wake
 
Vipi kuhusu mahusiano yake, sijawahi kumuona akihusiana na baby yoyote

Au wenzangu mnamjua mpenzi wake
Millard Ayo ameoa na ana watoto wawili kwa sasa.
Ana mke mzungu sema hua hataki kuweka mahusiano yake kistaa yeye na mke wake wanakaa maisha yasiyo ya show off
 
Back
Top Bottom