Mfahamu Millard Ayo

Mfahamu Millard Ayo

Wewe unadhani kufunguwa media mtaji ni laptop na smartphone?
Holy moly! So Ukifikiria kupata mtaji first thing first ni kuchota vijisenti vyako vya akiba au kusubiri neema ya kuchangiwa na wazazi,ndugu na marafiki!?
Kwa mtu kama milad ayo na reputation yake katika industry ya media unadhani tatizo ni mtaji!?
Think Big ma Niqqa!
 
Ila kuanzisha kituo kiwe cha redio/TV ni shughuli kwanza kuwafanya watu waache redio/TV fulani Harafu wawe wafuasi wako ni kazi hivyo hadi ajipange sana.
 
Back
Top Bottom