Hawa akina Mark sio Watafsiri, hawa wanasimulia movie.Dj Mark sauti yake iko poa sana na anasikika vzuri bila makelele
Ar
Mimi sipendi movie za kutafsiri ila nikikuta imetafsiriwa na Lufufu huwa lazima niangalie.Mtu mzima unaanzaje kuangalia movie iliotafsiriwa kwa kuingiza sauti? Hizo movie huwa naona hazina tofauti na katuni za watoto za akina Kibena.
Mkuu hapa ni kama umeongea kinyume, hao kina Mack ndio wanasimulia matukio.Mzee wa kamnyweso, makagari, akamchoma Uswadi, anataka kumtafuna uroro, Indaa!!!
Msimsahau Dj Afro Amigo.
Rufufu nimuongo alikua anaelezea matukio badala ya kutafsiri maneno.
Kwangu Dj Mack na Dj Afro ndio the best wanajua kingereza vizuri na hawachoshi kuwasikiliza
"Rambo utanipeleka Marekani?"alikuwa akinikosha akiigiza sauti ya kike, amkumbuka kwenye movie la titanic
Anakuambia jambazi alipigwa mkong'oto uliochanganyika na kipigo.Akapigwa mpaka akasumbagila[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilikuwa napenda akiigiza sauti ya mwanamke au ya mtoto huyu jamaa ni legendary