Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atafanyia kazi maoni ya wadau juu ya swala la udini.Mtu mstaarabu, mvumilivu sana na msomi sheikh Mohamed Said
Lakini yuko na bias fulani ya kidini
Hongera mkuu kweli kuna vitu vinapaswa kubaki kwa faida ya vizazi vijavyo kama historia ya huyu mdau ni muhimu Sana."The life and times of Mohamed Said"
Napanga kumtafiti huyu mzee na kumuandikia kitabu asijekufa ukakosekana wasifu wa kumuelezea kiundani.
Asante ndugu Bulesi,
Bila shaka mzee wetu Mohamed Said atakuja kuweka nyongeza juu ya maswali yake ngoja tumpe uwanja wa kujieleza Pia.
CV yake haionyeshi kama aliwahi kupita hata Madrasa , itakuwa mnamsingizia tu mzee wa watuAkiacha udini ni mwandishi mzuri
Dah.... Majibu yapo kwenye kitabu changu kinaitwa "Historia ya Baba, misimamo ya mtoto na bifu na Nyerere"....cha mwaka 1957......kanunue 🤣🤣🤣🤣🤭Jaribu kutuelekeza kuna nini juu ya uelewa wako kwa mbali
Ngoja tumuite mzee wetu aje kutoa nyongezaTunangojea nyongeza uliyotuahidi kutoka kwa Mzee Mohamed!