Mfahamu Mtawala wa Dubai, Sheikh Maktoum

Mfahamu Mtawala wa Dubai, Sheikh Maktoum

Huwezi kutenganisha Abu Dhabi na Dubai.

Abu Dhabi ni Mji Mkuu wa kiutawala wa UAE, na Dubai ni Mji Mkuu wa kibiashara wa UAE.

Ni kawaida sana Abu Dhabi kuwekeza Dubai.

Abu Dhabi na Dubai kila moja ni Emirates katika nchi moja ya UAE. Dubai sio nchi, wala Abu Dhabi sio nchi.

Emirates saba ndio zinatengeneza nchi ya UAE ambazo ni Abu Dhabi (the capital), Dubai, Sharjah, Ajman, Fujairah, Ras Al Khaimah, na Umm Al Quwain
Sahihi chief
 
Back
Top Bottom