Mfahamu Mtawala wa Dubai, Sheikh Maktoum

Mfahamu Mtawala wa Dubai, Sheikh Maktoum

Tutajengewa misikiti ya kutosha maana ndio misaada ya mwarabu baada ya kupata faida . Kifungu Cha Co oparate social responsibility
Mkuu:
Kuna Kuwait Fund imefadhili miradi mingi ya maendeleo hapa nchini, zikiwemo barabara kiwango cha lami.
 
Hatuzungumzii historia, tunazungumzia Sasa. Mkoloni wa kizungu alijenga makanisa, shule, mahospitali, na mbo chungu mzima ya manufaa kwa nchi na vizazi vijavyo

Mwarabu yeye ajuacho msaada ni kujenga misikiti na tende za bure huwa hafikirii kujenga hospitali au shule tofauti na madrasa. Yeye huwa chochote snachokifanya ni mpango wa muda mrefu wa kuibadilisha dunia kuwa ya Imani yake kitu ambacho kwake ni njozi za mchana lakini hakati tamaa.

Karne ya Sasa hakuna kanisa linalojengwa kwa msaada wa mzungu, Bali ni waamini wenyewe wanajenga kwa nguvu zao na haeajengi makanisa tu Bali huduma za kijamii wanazingatia
Mkuu:
Ukipata nafasi pitia nyaraka za KUWAIT FUND for Development, na ARAB FUND FOR ECONOMIC AND DEVELOPMENT utapata picha halisi ya ufadhili wao hapa nchini.
 
Pongezi nyingi kwake Shehe Al Maktoum. Nimewahi kufika Dubai mara 3 Ila kila nikifika nakuta kitu kipya. Kama Dubai wameweza kubadili jangwa kuwa mji wa kibiashara na utalii sisi hapa tuna mbuga, bandari, madini. Tunashindwa wapi?
Tunashindwa kwa kuwa na vilaza pale juu
 
Tutajengewa misikiti ya kutosha maana ndio misaada ya mwarabu baada ya kupata faida . Kifungu Cha Co oparate social responsibility
Kwani mzungu ana msaada gani zaidi ya kutujengea makanisa na kutuwekea mapadri na ushoga ??
 
Pongezi nyingi kwake Shehe Al Maktoum. Nimewahi kufika Dubai mara 3 Ila kila nikifika nakuta kitu kipya. Kama Dubai wameweza kubadili jangwa kuwa mji wa kibiashara na utalii sisi hapa tuna mbuga, bandari, madini. Tunashindwa wapi?
Kwy maamuzi na kuyapanhilia
 
Pongezi nyingi kwake Shehe Al Maktoum. Nimewahi kufika Dubai mara 3 Ila kila nikifika nakuta kitu kipya. Kama Dubai wameweza kubadili jangwa kuwa mji wa kibiashara na utalii sisi hapa tuna mbuga, bandari, madini. Tunashindwa wapi?
Sisi akili ipo kwenye kugombea madaraka ili udhibiti tra na uchumi usio na afya then uteue marafiki zako kwenye nyashifa zenye fursa nzuri muanze kuiba
 
Shehe Akili Kubwaaz.
1. Hapo Dubai uchaguzi Mkuu lini?
2. Vipi ilani ya Chama tawala?
3. Wanae Katibu Mwenezi?
4. Chawa je?
 
Back
Top Bottom