Mfahamu Mtawala wa Dubai, Sheikh Maktoum

Mfahamu Mtawala wa Dubai, Sheikh Maktoum

Pia licha ya yote hayo aligongewa na kuchapiwa mke wake kipenzi Haya bint Hussain binti wa aliyekuwa mfalme wa Jordan.

Wanawake sometimes wajinga sana.
Mfalme wa Jordan Ni Baba wa Haya Kwa mke wake wa tatu Queen Alia. Huo uongo ulishindwa hata Ku-google?
 
Asante kwa kunielewesha upo sahihi mkuu
Yupo sahihi Dubai ni Nchi, huo ni Muunganiko wa Nchi, Zimeungana miaka ya 70 hapo wala sio mbali, ndio Maana Dubai ina kiongozi wake kama ilivyo Zanzibar na Kiongozi wake.
 
Kwanini Dubai ni tajiri? Jibu hili hapa.
 

Attachments

  • VID-20230612-WA0072.mp4
    9.3 MB
Pongezi nyingi kwake Shehe Al Maktoum. Nimewahi kufika Dubai mara 3 Ila kila nikifika nakuta kitu kipya. Kama Dubai wameweza kubadili jangwa kuwa mji wa kibiashara na utalii sisi hapa tuna mbuga, bandari, madini. Tunashindwa wapi?
Sisi hapa tunawaza tu kukodisha
 
Screenshot_20230630-180248_Google.jpg
Shekhe yuko vizuri...
 
Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum (73) ndie Mtawala wa Dubai na pia Ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Waziri wa Ulinzi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

Ndie aliyefanya mageuzi makubwa kwenye Emirati ya Dubai kutoka jangwa mpaka Sasa mji maarufu na kuvutia watalii toka pande zote za dunia.

Anatajwa Kama tajiri duniani aliyefanikiwa katika biashara ya "real estate"

Pia, Ni mwandishi wa vitabu kadhaa ikiwemo Flashes of thoughts. Tofauti na watawala wengi wa Afrika ambao hata kuandika Pamphlet tu Ni issue


NB: Picha Kwa hisani ya Square yards.

View attachment 2653231
Tz Tuna Magufuli siku yakumuadhimisha nitatembea mwanzo mwisho as I was among silence elite who campaign for Magufuli. Hakunijuwa wala sikumjuwa labda wazazi wangu. Asante Baba Magufuli siku moja kizazi cha wa Tanzania tuta kukumbuka kwa namba tofauti sana.
 
Pongezi kwake,sema ni katili sana hadi mkewe anayeitwa Princess Haya alimkimbia .Princess Haya ni mtoto wa marehemu king Hussein wa Jordan. Pia huyu Sheikh ana tabia ya kuwatesa wanae wa kike na kuwafunga kifungo cha nyumbani.Binti yake ni mke wa Sheikh Mansoor mwenye Man City.
Mambo yake binafsi ni yake na mkewe na wanawe.

Tutadanganyana tu.
 
Back
Top Bottom