Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,511
- 5,390
Siku mwanamke alipoumbwa ndio siku kifo cha mwanaume kilipotangazwa rasmi. Mzee mmoja mwenye hekima aliwahi kusema kwamba mwanamke aliumbwa kuja kumsaidia mwanaume lakini pia mwanamke aliumbwa ili mwanaume afe.Ila Princess Haya alimkomesha huyu mzee,alitoroka akaenda London na wanae wawili.Akafungua kesi,sasa mzee analipa child support ,Haya alikuwa anatembea na Mlinzi.Naona mzee shughuli ya kitandani haiwezi .