Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni kichwa changanya hawa viprofessor uchwara vyote waelezee tu huyu kawezaji sio wafanye reserch hapana kafanyaje kugeuza nchi kwa miaka 30 tu, watabaki rasilimali zetu 🙄Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum (73) ndie Mtawala wa Dubai na pia Ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Waziri wa Ulinzi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Ndie aliyefanya mageuzi makubwa kwenye Emirati ya Dubai kutoka jangwa mpaka Sasa mji maarufu na kuvutia watalii toka pande zote za dunia.
Anatajwa Kama tajiri duniani aliyefanikiwa katika biashara ya "real estate"
Pia, Ni mwandishi wa vitabu kadhaa ikiwemo Flashes of thoughts. Tofauti na watawala wengi wa Afrika ambao hata kuandika Pamphlet tu Ni issue
NB: Picha Kwa hisani ya Square yards.
View attachment 2653231
Wangempa Shekh nchi yote miaka 20 tungekuwa na pepo ya dunia. Hivi hatuwezi kumkodishia nchi yote sio bandari tu nchi nzima miaka 20 tu. Naunga mkono hoja.Sisi tumesomeshwa ujinga na wajerumani na Waingereza.
Kila kizuri tunaona ni cha "kizungu".
Ukisoma khotuba ya mwisho ya Mtume Mohd pale arafaa ni moja ya speech kubwa aliyotoa, aliwapa daraja kubwa sana wanawake alitumia muda mwingi kuongelea haki za wanawake shida hamsomi mna kariri tu.Waislamu hawathamini wanawake
Pale Dubai Airport kuna wakati waliweka picha za history ya airport yao kutoka 1986 mpaka sasa huyu mwamba ni hatari, alianza na kukodi ndege moja tu toka Pakistan leo Emirates air wako wapi na Pakistan airline wako wapi. Hii mitaa leo ukipita ni balaaKafanya Makubwa ndio ila Yeye pia Dubai kaikuta, watu wengi wanalinganisha Dubai na Saudi ama Qatar ila Dubai iliendelea Zamani sana, hata kabla ya Mafuta ilikuwa ni Mji wa Biashara watu Dunia Nzima walikua wanafungasha Mizigo. Wahindi na wapersia walikuepo Dubai zamani sana.
View attachment 2655006
View attachment 2655007
View attachment 2655008
duuh hafai kupewa Bandari yetu kama anatabia hizoPongezi kwake,sema ni katili sana hadi mkewe anayeitwa Princess Haya alimkimbia .Princess Haya ni mtoto wa marehemu king Hussein wa Jordan. Pia huyu Sheikh ana tabia ya kuwatesa wanae wa kike na kuwafunga kifungo cha nyumbani.Binti yake ni mke wa Sheikh Mansoor mwenye Man City.
Na tunaye Shekh Mansour wetu wa Tandale lakini bado yuko busy anaimba amapiano.Sisi akina Sheikh Al Saud, Al Makhtoum, Al Nahyan wa buza tuko hapa TPA tunawazoom tu..
Tungeanza na Zanzibar ingefaa zaidiPunde, Dar itakua kama Dubai
[/QUOTE]Unauhakika??
Pongezi kwake,sema ni katili sana hadi mkewe anayeitwa Princess Haya alimkimbia .Princess Haya ni mtoto wa marehemu king Hussein wa Jordan. Pia huyu Sheikh ana tabia ya kuwatesa wanae wa kike na kuwafunga kifungo cha nyumbani.Binti yake ni mke wa Sheikh Mansoor mwenye Man City.
Au vipi?aje atubadilishie TZ owe ya kimataifa!si ndio eeeh🙇?Mtawala karibu Sana Dar
Hiyo bandari akianza Sheikh, utajionea masahaba wake wtavyomiminika hapa.Wangempa Shekh nchi yote miaka 20 tungekuwa na pepo ya dunia. Hivi hatuwezi kumkodishia nchi yote sio bandari tu nchi nzima miaka 20 tu. Naunga mkono hoja.
Halafu matajiri wakiona Shekh kawekeza hapa basi hata hofu wanondoa wanajuwa hii sehemu salama. Viva TanzaniaHiyo bandari akianza Sheikh, utajionea masahaba wake wtavyomiminika hapa.
Unajuwa Sheikh yule masahaba zake wote ni mabilionea na wanazijuwa fursa zinazotokana na bandari/
Utasikia sasa hivi, mwekezaji anataka kukodisha reli ya Zambia ataweka vichwa na mabehewa yake. Mijitu inatumia fursa.
Hii ya masheikh mimi naichukulia kuwa ni neema kubwa sana imetufikia Watanzania, tuzitumie fursa kwa faida yetu.
Si unaona sisi tunabishana Rostam huyo anafunguwa kiwanda cha kufuwa umeme wa jua na gas Zambia. Unafikiri gas agtaisafirisha kutoka wapi? Na kwa njia ipi.
Kuna njia mbili tu za kusafirisha gas kiurahisi kwa sasa ili mradi wake ufanikiwe, alete mabehewa ya kusafirishia gas aitumie TAZARA iliyokaa bure au ifanywe pipeline ya gas. Au anunuwe gas Angola huko atmie reli ya zamani iliyokuwa Rhodesia Raiway, iliyokuwa inaunganisha Northern Rhodesia amabyo ndiyo Zambia kwa sasa na Southern Rhodesia ambayo ndiyo Zimbabwe kwa sasa.
Hivi tayri anawahi fursa, gas hapa tunayo inayozalishwa sasa hivi inalisha sehemu chavhe sana. Nyingine nyingi inapotea bure tu.
Sisi tumekaa tunabishana kwa mambo ya faida ya nchi.
Tena hao Waarabu ni fursa hiyo wawekeze bandari ya Gas ili tuisafirishe nje kiurrahisi.
Waarabu hawana longolongo hao. Wanafanya kweli.
Zanzibar wameshaanza huko, sisi tunalalama kijinga tu.