MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Anaitwa Moussa N'Daw Msenegal ambaye aliwahi kuwa Striker hatari sana wa Wydad ac na Al hilal ya Saud Arabia. Pia amewahi kuwa Manager msaidizi pale Wyadad Ac 2021/22. Yaani ile Wydad ya moto iliyochukua ubingwa CAFCL jamaa alikuwepo.
Uhatari wake haupo pale anapokuwa ameketi. Shida huanza pale anaposimama na kwenda kumnong'oneza jambo kocha mkuu, Hapo hali ya hewa hubadilika kabisa!
Ni kocha mwenye sifa ya kuwa na mbinu chafu mno! Ni fundi wa kuusoma mchezo, katili na tactician wa hatari mno, anayezijua mbinu zote za nje na ndani ya uwanja.
Sio kocha anayefurahia kushindwa, Hapendi kabisa kushindwa.Yaani kwa kifupi unapomuaona huyu jamaa ameinuka kwenye benchi, baaasi ujue kazi ipo! Shughuli yake huwa ni kazi chafu! Yupo kwa kazi maalum!
Ukitaka Yanga waishiwe mbinu, basi huyu jamaa ale red atoke nje kabisa ya uwanja, hapo kuna ahueni.Vinginevyo ni ngumu kutoboa!