Mfahamu mtu hatari zaidi Yanga

Matola ndo mtaalam wa mambo ya giza.
 
Umeanza kwa kusifia kuwa alifundisha Wydad ya moto na mabingwa, ghafla unaibuka kuwa Yanga ni bora mara 100!
Wydad ya sasa na ya kipindi hicho sio sawa.Wydad ya sasa hauwezi kuilinganisha na Yanga
 
OK sawa sawa mara nyingi kocha msaidizi inatakiwa awe na vitu sana..
 
Yaani aache kubaki kwa mabingwa Yanga aende huko Wydad atakuwa na akili timamu kweli? Kwenda Wydad ndiyo nini? Tena ameshawahi kufundisha huko! Na wala hajataka kurudi huko! Yanga ni bora mara 100 kuliko Wydad
Hahaha, eti hajataka kurudi huko. Ndiyo alivyokwambia hivyo?

Kwa hiyo Hersi siyo tena ndiye mtu hatari hapo utopoloni, sasa hivi ni huyo mganga wenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…