Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,359
- 5,329
Wishes uchwara zako tumechoka nazo,mara Lissu atakuja kufa polepole mara hili,kafie mbele hukoTuendelee Na Mtiririko wa Makala zetu.
Kwenye Ulingo wa Siasa za Chama Tawala na Vyama Marafiki( Tanzania Tunaviita Upinzani) Ukimsikia Mtu anajiita Mwanaharakati tena yupo nje ya Mipaka ya Tanzania uwe nae makini sana.
Wengi wao Utumika pande zote Mbili ( Double A)
Basi ukiwa upo Kwenye Vyama vyetu Rafiki na kile cha kushika Hatamu shirikiana nao kwa Akili sana laa sivyo utajikuta / Mtajikuta Hamna mission mtafanikiwa.
Kuna Kikundi kipo kinapendwa sana na Watanzania ila niwambie Tu wanawachora.
Kete yao mtaiona very soon.
Kwenye eneo la Waanharakati Kuna Vimeo kibao ... Watch Out.
GM ( Kaburini Chato)
CC Wanaharakati X ( Twitter)
Mpuuzi sana huyu laana ya kumuua Thadei Ole Mushi inamtesa ndiyo maana anaropoka ovyo.Wishes uchwara zako tumechoka nazo,mara Lissu atakuja kufa polepole mara hili,kafie mbele huko
Tuendelee Na Mtiririko wa Makala zetu.
Kwenye Ulingo wa Siasa za Chama Tawala na Vyama Marafiki( Tanzania Tunaviita Upinzani) Ukimsikia Mtu anajiita Mwanaharakati tena yupo nje ya Mipaka ya Tanzania uwe nae makini sana.
Wengi wao Utumika pande zote Mbili ( Double A)
Basi ukiwa upo Kwenye Vyama vyetu Rafiki na kile cha kushika Hatamu shirikiana nao kwa Akili sana laa sivyo utajikuta / Mtajikuta Hamna mission mtafanikiwa.
Kuna Kikundi kipo kinapendwa sana na Watanzania ila niwambie Tu wanawachora.
Kete yao mtaiona very soon.
Kwenye eneo la Waanharakati Kuna Vimeo kibao ... Watch Out.
GM ( Kaburini Chato)
CC Wanaharakati X ( Twitter)
Huyu zamadamu tunaomba kifo
View attachment 3637277
ahahha .Wishes uchwara zako tumechoka nazo,mara Lissu atakuja kufa polepole mara hili,kafie mbele huko
Kipo kipo tuu mkuu,hata wewe ni Marehemu mtarajiwa!Endelea kujaa tu .
Mnachorwa maboya nyie.
boya ni yule anaepasuka.Hamna anayemchora yeyote, wote wanachorana. Wewe unadhani nani boya?
Hasa kule chaka road.boya ni yule anaepasuka.
Kuna scenario moja ilitokea 7/7 Nusu istukiwe ila maboya wengi.
Kilimani Nairobi Not safe again mkungwa kaanza kazi ya kuvujisha file za Harakati
Mwamini Mungu wako si mwanadamu.
Du hii kali.Huyu zamadamu tunaomba kifo
View attachment 3637277
Damu za watu zimekutafuna mpka MKU.NDU.Tuendelee Na Mtiririko wa Makala zetu.