Mfahamu muigizaji Kajol

Ajay Devgan alipigwa kibuti na muigizaji mwingine wa kike maarufu Sana ndo akaenda kumuoa Kajol kama kutafuta huruma...haikutegemewa wange last...
Wanavyosema Ajay hana muonekano mzuri kitu ambacho kina athiri sio tu mapenzi bali mpaka kazi zake.

Licha ya uwezo mkubwa wa uigizaji alionao anachukuliwa poa kutokana hana muonekano mzuri.
 
Wanavyosema Ajay hana muonekano mzuri kitu ambacho kina athiri sio tu mapenzi bali mpaka kazi zake.

Licha ya uwezo mkubwa wa uigizaji alionao anachukuliwa poa kutokana hana muonekano mzuri.
Sidhani..
Nafikiri kinacho mcost hatoki familia maarufu za waigizaji...
Angekuwa anaitwa Ajay Khan au Ajay Kapoor. Au Ajay Kumar...basi wala asingesemwa hivyo
 
Huyu demu alifanya hadi nikataka kwenda india asee ni pisi kali kikuda.
 
Anaitwa Vivek Oberoi ali act kama adui kwenye filamu ya Krrish 3 alikuwa anatumia jina la Kaal.

Salman Khan huwa ana bahati ya kupata mademu visu sana tatizo lake ana ubabe ubabe wa kijinga kwa mademu ndio maana wana mkimbia, pia kicheche sana.

Mpaka sasa Salman Khan hajaoa na hana mtoto, couple yake na Katrina Kaif ilikuwa inavutia sana ila alizingua demu akasepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…