Mfahamu muigizaji Kajol

Wanavyosema Ajay hana muonekano mzuri kitu ambacho kina athiri sio tu mapenzi bali mpaka kazi zake.

Licha ya uwezo mkubwa wa uigizaji alionao anachukuliwa poa kutokana hana muonekano mzuri.
Ehhhhh!![emoji15] Mimi ninavyo muonaga muhandsome sana yaani ana mvuto kumbe...[emoji22][emoji22]dah nimesikitika sana[emoji1]
 
Bila shaka wewe ni Juma Khani au Chikongwe
 
Katika hao wengi nami nimo. Tena movie zake ndio sizipendi kabisa. Zile anapiga risasi huku gari inapinduka na haumii. Atleast ile ishq alikua na juhi chawla na kajol
Daaah ulivyotaja Juhi Chawla (Ki-Ki-Ki-raaaaan) umenikumbusha Darr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…