Mfahamu mzee mwenye nyaraka za ardhi ya Palestina ambayo Waisraeli wamevamia

Hii sio evidence mkuu, Definition ya sasa ya Uarabu ni mtu mwenye culture ya kiarabu basi ni Muarabu, ila kihistoria Sudan, Nchi za Africa kaskazini, huko Palestine, Iraq na wengineo sio waarabu. Iraq ya kusini waliishi waarabu ila juu kule kulikua na watu wengi tu kama Sumerian,

Hawa sumerians ndio wataalam wengi wanakubaliana waliishi pale zamani.

Leo wanaitwa waarabu sababu culture yao ni ya kiarabu, ila Dna zao zikipimwa hawafanani na waarab wengine kama wa Saud bali zinafanana na Sumerians wa kale.

Toka zamani waarabu ni mabedui, kama unavyoona wamasai huku Tanzania waliishi kwenye majangwa na mifugo yao na vijiji vyao vidogo vidogo hawakuwa watu wa kuishi kwenye majiji.

Ibrahim ni mkaldayo wa Iraq,mji ulio 300km kusini mwa Baghdad q,ambako huko kusini ndipo Iraq inakopakana na Saudi Arabia
 
PART 1

Yesu aliwachana waziwazi Wayahudi (Waisraeli) kwa kuwa waliwakataa na hata kuwaua manabii wa Mungu adhabu yao wangetawanywa kutoka kwenye ardhi yao

Na kweli wakati wa utawala wa Roma wakawa watumwa wa Roma na wakatawanyika kutoka kwenye ardhi yao wakaanza kutangatanga

Wengine walikimbilia Ulaya, Marekani na nchi nyingine duniani (Huwa nashangaa wanaosema Israeli taifa teule la Mungu hawa jamaa walilaaniwa na hii ilikuwa adhabu yao)

Turudi kwenye historia;

Walipoanza kutanga tanga ardhi yao ikamilikiwa na Wapalestina

Baada ya Wayahudi zaidi ya milioni 6 kuuawa na Hitler na kutokea kwa vuguvugu la Wayahudi kubaguliwa kwenye baadhi ya mataifa waliyokimbilia, mwaka 1948 Wayahudi wakaanzisha movement iliyoitwa Zionism

Lengo la movement lilikuwa kuitwaa ardhi ambayo kihistoria wanadai ilikuwa yao ila wakati huo ilikuwa inamilikiwa na Wapelestina

Sasa wangeingiaje kuitwaa hiyo ardhi? Inaendelea PART 2
 
Picha ya mkulima wa Kipalestina huko Jurish akiwa ameshikilia hati ya mauzo ya miaka 117 iliyo na muhuri wa Ottoman inayothibitisha kwamba ardhi hiyo ni ya familia yake.

[emoji1193] Mpalestina huyu mwenye umri wa miaka 73 alisema kwamba hati hii, iliyorithiwa kutoka kwa babu yake, ilihifadhiwa kutoka kizazi hadi kizazi katika sura ya plastiki yenye kingo zilizovunjika.

"Hii ni hati ya kipindi cha Uthmaniyya inayoonyesha kuwa babu yangu 'Abdulfettah Mansour alinunua ekari 60 za ardhi huko Jurish. Hati hiyo inathibitisha kwamba ardhi ilinunuliwa na 'Abdulfettah Mansour.

Pia kuna muhuri wa Ottoman chini. Ardhi hii inamilikiwa na familia yetu tangu 1906." #FreePalestinePicha ya mkulima wa Kipalestina huko Jurish akiwa ameshikilia hati ya mauzo ya miaka 117 iliyo na mhuri wa Ottoman inayothibitisha kwamba ardhi hiyo ni ya familia yake. [emoji1193] Mpalestina huyu mwenye umri wa miaka 73 alisema kwamba hati hii, iliyorithiwa kutoka kwa babu yake, ilihifadhiwa kutoka kizazi hadi kizazi katika sura ya plastiki yenye kingo zilizovunjika.

Pia kuna muhuri wa Ottoman chini. Ardhi hii inamilikiwa na familia yetu tangu 1906." #Palestine Huru

View attachment 2560546
Huyu mzee ni kama wale wanasiasa wa bongo ambao walisajiri vyama vya siasa wakaishia kutembea na vyama hivyo kwenye briefcases zao, wakizunguko vijiwe vya kahawa wakianzisha ubishi utakaopelekea kufungua briefcase kuonyesha hati za vyama.
Siku walipopigwa mitama na kuporwa briefcase na vyama navyo vikapotelea hapohapo
 
PART 2
Sasa wangeingiaje kuitwaa hiyo ardhi?

Israel wakapata support ya Marekani, Uingereza na Umoja wa Mataifa

Kilichofanyika Wayahudi walipojiorganise wakawapa mitaji Wayahudi wenzao waende kwenye ardhi ya Palestina ambayo kihistoria wanadai yao

Wayahudi hao walienda kama wakulima wakubwa kuwekeza (settlers) na walihodhi maeneo makubwa sana

Na mbinu hii Wapalestina hawakuigundua na kama wangeigundua wasingekubali si tu kuwapa ardhi ya kilimo bali hata wasingewakaribisha

Basi wakulima hao feki Wakiyahudi wakaanza kuchukua ardhi kubwa wakaanza na kuwaleta wenzao kutoka Ulaya, Marekani na pande zote za dunia

Mdogomdogo kizazi cha Wayahudi kikaanza kuongezeka

Kwa msaada wa Marekani, Ungereza na Umoja wa Mataifa wakaanza kuipora ardhi ya Wapestina mpaka leo tunavyoona

NB: Kabla ya 1948 hakukuwa na nchi ya Israel kwenye ramani ya dunia. Na ndio nchi pekee mipaka yake inaongezeka kwenye ramani ya dunia kadiri wanavyoipora ardhi ya Wapalestina
 
Itakubidi uhihoji QURAN ,,Ikaumbie wale wayahudi waliotolewa MISRI na Nabii Musa saw katika "surat ban izarail " Mungu aliwapa ardhi ya Sehemu ipi katika dunia hii,, ikikupatia jibu,, utakuwa umemaliza mzozo uliomo kwenye ufahamu wako.

Viongozi wa Dini, wengi wao ni wanafiq, hawapendi kusema ukweli kwa kuhofia Madhehebu yao.
Hii hii quran waraka wa kiarabu?
 
Hao Ottoman waliomuuzia nao ilikuwa sio ardhi yao.

Hivi mfano waarabu wa pale Mecca wangetolewa na wagiriki na wakahamishiwa ugiriki lakini eneo la Mecca wakaja kukaa waisrael, je Mu israel angeuziwa eneo na mgiriki hii hati ingekuwa na mashiko kipindi waarabu wamerudi hapo Mecca ?
Umeeleweka mkuu
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kwani Ottoman na Ibrahim nani alitangulia?

Kwani huyu babu wa huyo mzee na mzee Ibrahim nani alikabidhiwa hiyo ardhi na Mungu.

Huyo mzee karithi kwa Babu yake, wayahudi nao wamerithi kwa babu yao Ibrahim.

NYARAKA.
Huyo mzee anaonyesha nyaraka yake ya urithi toka kwa babu zake.

Wayahudi nyaraka yao ipo kwa biblia. Mipaka ya ardhi yao imeainishwa humo na nadhani bado hawajaipata yote. Au nasema uongo jamani
Wana endelea kufuatilia kwa awamu,karibuni wanaingia awamu ya pili
 
Picha ya mkulima wa Kipalestina huko Jurish akiwa ameshikilia hati ya mauzo ya miaka 117 iliyo na muhuri wa Ottoman inayothibitisha kwamba ardhi hiyo ni ya familia yake.

[emoji1193] Mpalestina huyu mwenye umri wa miaka 73 alisema kwamba hati hii, iliyorithiwa kutoka kwa babu yake, ilihifadhiwa kutoka kizazi hadi kizazi katika sura ya plastiki yenye kingo zilizovunjika.

"Hii ni hati ya kipindi cha Uthmaniyya inayoonyesha kuwa babu yangu 'Abdulfettah Mansour alinunua ekari 60 za ardhi huko Jurish. Hati hiyo inathibitisha kwamba ardhi ilinunuliwa na 'Abdulfettah Mansour.

Pia kuna muhuri wa Ottoman chini. Ardhi hii inamilikiwa na familia yetu tangu 1906." #FreePalestinePicha ya mkulima wa Kipalestina huko Jurish akiwa ameshikilia hati ya mauzo ya miaka 117 iliyo na mhuri wa Ottoman inayothibitisha kwamba ardhi hiyo ni ya familia yake. [emoji1193] Mpalestina huyu mwenye umri wa miaka 73 alisema kwamba hati hii, iliyorithiwa kutoka kwa babu yake, ilihifadhiwa kutoka kizazi hadi kizazi katika sura ya plastiki yenye kingo zilizovunjika.

"Hii ni hati ya kipindi cha Uthmaniyya inayoonyesha kuwa babu yangu 'Abdulfettah Mansour alinunua ekari 60 za ardhi huko Jurish. Hati hiyo inathibitisha kwamba ardhi ilinunuliwa na 'Abdulfettah Mansour.

Pia kuna muhuri wa Ottoman chini. Ardhi hii inamilikiwa na familia yetu tangu 1906." #Palestine Huru

View attachment 2560546
bora hati iyo ina miaka 117 sasa biblia ina miaka 4000 na uchafu...ndan yake kuna uthibitisho wa ardhi iyo kuwa mali yao tena inasema hawajanunua bali wamepewa na MUNGU bure🤣😅😆😁😄
 
Kiuhalisia israel ni wavamizi,hilo eneo hata wakati ibrahimu anaoneshwa kuwa atakuja kupewa,tayari kulikua na watu wanaoishi(makabila mbalimbali ambayo yanaunda palestina),ilibidi Mungu awapatie eneo ambalo halina watu na sio kufanya uvamizi uliosababisha vita vya muda mrefu na mauaji ambayo ni tatizo hadi leo hii tunavoongea
 
Picha ya mkulima wa Kipalestina huko Jurish akiwa ameshikilia hati ya mauzo ya miaka 117 iliyo na muhuri wa Ottoman inayothibitisha kwamba ardhi hiyo ni ya familia yake.

[emoji1193] Mpalestina huyu mwenye umri wa miaka 73 alisema kwamba hati hii, iliyorithiwa kutoka kwa babu yake, ilihifadhiwa kutoka kizazi hadi kizazi katika sura ya plastiki yenye kingo zilizovunjika.

"Hii ni hati ya kipindi cha Uthmaniyya inayoonyesha kuwa babu yangu 'Abdulfettah Mansour alinunua ekari 60 za ardhi huko Jurish. Hati hiyo inathibitisha kwamba ardhi ilinunuliwa na 'Abdulfettah Mansour.

Pia kuna muhuri wa Ottoman chini. Ardhi hii inamilikiwa na familia yetu tangu 1906." #FreePalestinePicha ya mkulima wa Kipalestina huko Jurish akiwa ameshikilia hati ya mauzo ya miaka 117 iliyo na mhuri wa Ottoman inayothibitisha kwamba ardhi hiyo ni ya familia yake. [emoji1193] Mpalestina huyu mwenye umri wa miaka 73 alisema kwamba hati hii, iliyorithiwa kutoka kwa babu yake, ilihifadhiwa kutoka kizazi hadi kizazi katika sura ya plastiki yenye kingo zilizovunjika.

"Hii ni hati ya kipindi cha Uthmaniyya inayoonyesha kuwa babu yangu 'Abdulfettah Mansour alinunua ekari 60 za ardhi huko Jurish. Hati hiyo inathibitisha kwamba ardhi ilinunuliwa na 'Abdulfettah Mansour.

Pia kuna muhuri wa Ottoman chini. Ardhi hii inamilikiwa na familia yetu tangu 1906." #Palestine Huru

BoraView attachment 2560546
Nimepata Jambo hapo kwenye hiyo nyaraka ambayo imenipa maswali mengi swali langu hiyo hati iliyolewa jurish ni wapi na jina Hilo Lina maana ipi.
Nini history ya jina Hilo jurish
 
wakipata yote kuna nchi zitajikuta ziko ndani ya mipaka ya israel. Kwenye zile vita israel ilitakiwa izipige zile nchi zilizounda umoja wa kupambana nayo ili iteke maeneo makubwa zaidi
Iliteka maeneo mengi tu makubwa kama Gaza, Sinai ila iliyarudisha kama njia ya kurudisha amani.
 
Picha ya mkulima wa Kipalestina huko Jurish akiwa ameshikilia hati ya mauzo ya miaka 117 iliyo na muhuri wa Ottoman inayothibitisha kwamba ardhi hiyo ni ya familia yake.

[emoji1193] Mpalestina huyu mwenye umri wa miaka 73 alisema kwamba hati hii, iliyorithiwa kutoka kwa babu yake, ilihifadhiwa kutoka kizazi hadi kizazi katika sura ya plastiki yenye kingo zilizovunjika.

"Hii ni hati ya kipindi cha Uthmaniyya inayoonyesha kuwa babu yangu 'Abdulfettah Mansour alinunua ekari 60 za ardhi huko Jurish. Hati hiyo inathibitisha kwamba ardhi ilinunuliwa na 'Abdulfettah Mansour.

Pia kuna muhuri wa Ottoman chini. Ardhi hii inamilikiwa na familia yetu tangu 1906." #FreePalestinePicha ya mkulima wa Kipalestina huko Jurish akiwa ameshikilia hati ya mauzo ya miaka 117 iliyo na mhuri wa Ottoman inayothibitisha kwamba ardhi hiyo ni ya familia yake. [emoji1193] Mpalestina huyu mwenye umri wa miaka 73 alisema kwamba hati hii, iliyorithiwa kutoka kwa babu yake, ilihifadhiwa kutoka kizazi hadi kizazi katika sura ya plastiki yenye kingo zilizovunjika.

"Hii ni hati ya kipindi cha Uthmaniyya inayoonyesha kuwa babu yangu 'Abdulfettah Mansour alinunua ekari 60 za ardhi huko Jurish. Hati hiyo inathibitisha kwamba ardhi ilinunuliwa na 'Abdulfettah Mansour.

Pia kuna muhuri wa Ottoman chini. Ardhi hii inamilikiwa na familia yetu tangu 1906." #Palestine Huru

View attachment 2560546
Israel hati zake za kumiliki hayo maeneo alikabidhiwa Ibrahim na Mwenyezi Mungu kwa hiyo huyo mzee asiwapotoshe
 
Hii sio evidence mkuu, Definition ya sasa ya Uarabu ni mtu mwenye culture ya kiarabu basi ni Muarabu, ila kihistoria Sudan, Nchi za Africa kaskazini, huko Palestine, Iraq na wengineo sio waarabu. Iraq ya kusini waliishi waarabu ila juu kule kulikua na watu wengi tu kama Sumerian,

Hawa sumerians ndio wataalam wengi wanakubaliana waliishi pale zamani.

Leo wanaitwa waarabu sababu culture yao ni ya kiarabu, ila Dna zao zikipimwa hawafanani na waarab wengine kama wa Saud bali zinafanana na Sumerians wa kale.

Toka zamani waarabu ni mabedui, kama unavyoona wamasai huku Tanzania waliishi kwenye majangwa na mifugo yao na vijiji vyao vidogo vidogo hawakuwa watu wa kuishi kwenye majiji.
Ukianzia Kwa Sumerians ,Kisha Anunak,ni rahisi kutrack,lkn ukianzia kwenye Biblia na Quran, ni rahisi kupotea Kwan zimeandikwa Kwa mitindo ya Summary sana na hazianzii mbali
 
Back
Top Bottom