Hivi hamuoni hata hicho Ki Prado chenyewe hiyo plate number imeeditiwa tu...Ana pesa chafu,kisha unatuonyesha Prado !!!!! Mi nilikuwa natafuta sehemu utakayosema shughuli yake au biashara anayofanya, sio kutuonyesha gari ambayo kwa Dar ni sare ya jiji.
ish! utajiri wa kutupa hako ka landcruiser prado watu bwana
Vigoma???its more than wema sepetuHuyo dada inaonyesha anaakili na ni mchapakazi naona wako na wema wanapiga kazi na show zao za vigoma magenge ya akina aunt ezekiel yalikuwa yanampotosha wema maana wao wanawaza bata na sio kazi!
Munna alishamwachaNa pia kuna kijana mmoja yule mtoto wa Kalala aliwahi kuwa mpenzi wake sijui waliishia wapi!
Plate no ya south mkuuHivi hamuoni hata hicho Ki Prado chenyewe hiyo plate number imeeditiwa tu...
Iyo imetoka hivyohivyo south warumiKabisa binamu, maana mil 10 sio mchezo ujue, kuweka plate number jina lako fee yake ni sawa na bei ya vits
Unajua munna toka aache mkorogo sijui kawaje ndo madhara ya mikorogo