Mfahamu rafiki mpya wa wema, Muna na "UTAJIRI" wa kutisha

Mfahamu rafiki mpya wa wema, Muna na "UTAJIRI" wa kutisha

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kweli kwenye maisha hakuna aijuaye kesho , huyu demu alikuaga anaigiza kipindi hicho tamthilia za ITV, kala msoto wa nguvu lakini hakufanikiwa kutoka, baadae akaja kuibuka kwa Lulu akawa bodyguard kama sio secretary wa Lulu, kutwa akawa anagandana na Lulu, baadae naona ubest ukafa.

Siku si nyingi akaibukia kwa madame wema sepetu, unaambiwa sasa hvi Ana pesa chafu na ndie anayemsaidia shoga ake wema Sepetu karibia kila kitu, sasa sijui aka amepata wapi jeuri ya pesa.

1473961836684.jpg
 
Huyo dada inaonyesha anaakili na ni mchapakazi naona wako na wema wanapiga kazi na show zao za vigoma magenge ya akina aunt ezekiel yalikuwa yanampotosha wema maana wao wanawaza bata na sio kazi!
Vigoma???its more than wema sepetu
 
Back
Top Bottom