Mfahamu rafiki mpya wa wema, Muna na "UTAJIRI" wa kutisha

Mfahamu rafiki mpya wa wema, Muna na "UTAJIRI" wa kutisha

Kweli kwenye maisha hakuna aijuaye kesho , huyu demu alikuaga anaigiza kipindi hicho tamthilia za ITV, kala msoto wa nguvu lakini hakufanikiwa kutoka, baadae akaja kuibuka kwa Lulu akawa bodyguard kama sio secretary wa Lulu ,kutwa akawa anagandana na Lulu, baadae naona ubest ukafa, siku si nyingi akaibukia kwa madame wema sepetu, unaambiwa sasa hvi Ana pesa chafu na ndie anayemsaidia shoga ake wema sepetu karibia kila kitu, sasa sijui aka ka andunje kamepata wapi jeuri ya pesa View attachment 400952
ngada ngada ngada maana kudanga siku hizi sio ishu zamani ilikuwa wakiuza tigo wanapata pesa saa hizi tigo hata mkeo anakupatiia nyumbani😱😱😱😱😱msibishe😵😵😵😵


samahani naomba picha yake akiwa bado it sorreeeeeeeeeeeeeee maana sura naikumbuka kwa mbaliii
 
Tanzania ukiwa na gari hata la kukodi au kugongea kwa jirani utaitwa tajiri
 
Ana pesa chafu,kisha unatuonyesha Prado !!!!! Mi nilikuwa natafuta sehemu utakayosema shughuli yake au biashara anayofanya, sio kutuonyesha gari ambayo kwa Dar ni sare ya jiji.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Usishindane na msichana pedeje atamhonga noah. Pigana upate chako mtoto wa kiume haishi kwa kiuno
 
Back
Top Bottom