Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Kabisaa waende kwenye siasa wakajadili tanzania ya viwanda na kilimo cha nyanya uku watuache wambeaMimi nadhani watu wanapaswa kuelewa huku kwa ma celebrity ni full of gossips kama unajua wewe upo serious na maisha hautaki kufata au kusikia maisha ya watu wanaofahamika wanafanya nini au nini kimetokea usije huku celebrity forum..komaa na siasa na habari mchanganyiko.....