Mfahamu rafiki mpya wa wema, Muna na "UTAJIRI" wa kutisha

Mfahamu rafiki mpya wa wema, Muna na "UTAJIRI" wa kutisha

Mimi nadhani watu wanapaswa kuelewa huku kwa ma celebrity ni full of gossips kama unajua wewe upo serious na maisha hautaki kufata au kusikia maisha ya watu wanaofahamika wanafanya nini au nini kimetokea usije huku celebrity forum..komaa na siasa na habari mchanganyiko.....
Kabisaa waende kwenye siasa wakajadili tanzania ya viwanda na kilimo cha nyanya uku watuache wambea
 
Muanzisha huu uzi tayari kishatoka ndoka,raia wamemtolea macho mwanzisha uzi tafadhari akirudi tena nishituweni nimpe zawadi yake
 
Back
Top Bottom