Mfahamu rafiki mpya wa wema, Muna na "UTAJIRI" wa kutisha

Mmh mwasu sidhani mbona peter alimwandikia nyumba yule mtto na yy ndo anamuhudumia kila kitu mpk sasa
Ndio hivyo alijua wake na mtoto kamzoea so lazima amuhudumie mtoto akikua hatamtupa ataelezwa ukweli atamuona mbaya mama ake, ila la nyumba mbona anaweza kufuta hati tu hakuna shida, ila mtoto ni wa mtangazaji.
 
Aisee nani wa kumwachia afute jina nyumba ndo ishaenda
 
Hivi kuwa na gari ni utajiri tayari?..so mimi kwa gari nalomiliki pia ni tajiri tayari?..utajiri ni nini?..unapimwaje?..stop that mental slavery and i cant apologise for speaking my mind coz i know it may hurt you hearing this!!!
 
Duh mtu ana pesa chafu halafu anamiliki Prado old model haaa haaa kumbe na mimi nimo ninamiliki Prado New Model.
 
Huyo dada inaonyesha anaakili na ni mchapakazi naona wako na wema wanapiga kazi na show zao za vigoma magenge ya akina aunt ezekiel yalikuwa yanampotosha wema maana wao wanawaza bata na sio kazi!
na kubemenda watoto ndo wanawaza hao kina aunty!
 
Kabisaa waende kwenye siasa wakajadili tanzania ya viwanda na kilimo cha nyanya uku watuache wambea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji28][emoji28]watuache wanajifanya hawapendi umbea kutwa wapo umu
 
kalala anapenda dezooo....!!
Sanaaa anapenda kulelewa naona hajaamin alivyoachwa hivi unakumbuka ile ndoa yao feki yy na muna wakapiga mapicha yao studio [emoji28]ndoa wamefungia studio tulikoma insta na mapicha yao
 
Sanaaa anapenda kulelewa naona hajaamin alivyoachwa hivi unakumbuka ile ndoa yao feki yy na muna wakapiga mapicha yao studio [emoji28]ndoa wamefungia studio tulikoma insta na mapicha yao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndoa feki wasanii wa bongo bwana!

kalala nae mwanaume wa kuolewa nae?!!![emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndoa feki wasanii wa bongo bwana!

kalala nae mwanaume wa kuolewa nae?!!![emoji57] [emoji57] [emoji57]
Hahahhh mpk nyimbo alimtungia muna chezea umariooo
 
Ila muna ana sura nzito jamani utadhani turubai, usiombe kuona picha ambayo hajaedit kama sio yeye maimuna
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zishukuriwe 360 mana watu wataumbuka mjini
 
sio ni muna love kazaa na casto dickson wa siz kitaa
Ulikuwa wapi?
Casto kafuta picha zoote za Patrick baada ya kugundua sio mtoto wake.
Dhakari zinatueleleza

Baba anaendelea kutafutwa.
Maskini Peter....angekuwa na Muna nae angekuwa mbali sasa
 
Ulikuwa wapi?
Casto kafuta picha zoote za Patrick baada ya kugundua sio mtoto wake.
Dhakari zinatueleleza

Baba anaendelea kutafutwa.
Maskini Peter....angekuwa na Muna nae angekuwa mbali sasa
Hey njoo jukwaa la wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…