Ndio hivyo alijua wake na mtoto kamzoea so lazima amuhudumie mtoto akikua hatamtupa ataelezwa ukweli atamuona mbaya mama ake, ila la nyumba mbona anaweza kufuta hati tu hakuna shida, ila mtoto ni wa mtangazaji.Mmh mwasu sidhani mbona peter alimwandikia nyumba yule mtto na yy ndo anamuhudumia kila kitu mpk sasa