Kushanrishathaimu
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 220
- 347
namheshimu Gwajima sifahamu sana kuhusu huduma yake lakini Bonnke alikuwa ni true servant of God believe or not. Tatizo kuna wahuni wengi sana siku hizi wamevamia injili ndo maana kuna watu ukiwaambia kwamba miujiza ya kweli ya Mungu ilikuwepo na hata kwenye huduma kama za kina Boonke ilikuwepo watu wengi hawaamini.Kama alifufua basi atakuwa mzee wa snema,,,Gwajima style