Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

Walokole uwanja wenu huu,jimwageni.mi bado sijauona huo mtikisiko wa dunia anaozungumzia mleta mada.
Ni kwamba mchango wa huyo jamaa kwenye kuhubili ni mkubwa sana dunian, angekuwa akihubiri juu ya ugaidi na kujitoa mhanga na visasi.Amin usingekuwa hia sasa. acha neema ya mungu na itawale
 
Nakumbuka kumuona mara ya kwanza ni uwanja wa Jangwani Dar mwaka 89 alikuwa akiongea anamalizia na iiiiiii alikuwa bado kijana sana ilikuwa inaitwa The Big November Crusade
 
Huyu jamaa alitoa kitabu chake ukitazama yale maandishi kwenye cover lake yabachezacheza na kubadilika rangi.
Nadhani huyu ndo katuzalishia hawa kina Kakobe, Mwingira, TB Joshua, na wengineo wengi.
 
Nafikiri alirudi tena miaka ya 97 kama sijakosea pale Chang'ombe
Nakumbuka kumuona mara ya kwanza ni uwanja wa Jangwani Dar mwaka 89 alikuwa akiongea anamalizia na iiiiiii alikuwa bado kijana sana ilikuwa inaitwa The Big November Crusade
 
Nakumbuka kumuona mara ya kwanza ni uwanja wa Jangwani Dar mwaka 89 alikuwa akiongea anamalizia na iiiiiii alikuwa bado kijana sana ilikuwa inaitwa The Big November Crusade
Kwa masikitiko makubwa amefariki Dunia leo Peacefully. RIP BONKE.
 
Mwaka 1992 alifanya mkutano mkubwa wa injili pale juu nje ya uwanja wa Sokoine jijini Mbeya(nyuma ya jengo na NSSF). Ilikua kipindi cha mvua. Ilinyesha maeneo yote ya mji isipokuwa hapo uwanjani tu. Moaka leo hii habari inaishi. Alikha na kipaji sana cha kuhubiri. RIP
nilimshuhudia mbeya sokoine nadhani ilikuwa 2004 ,kwa kweli kulifana Sana
 
Back
Top Bottom