Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

Bonke alikuwa anatukusanya saana kwanza yale mavifaa yake akiyafunga tu na mataa yale daaah na ukifika unapigwa Injili iliyosimama
 
2028-1940=78

Hiyo 79 imetoka wapi
 
'hadi leo hakuibuka mtu wakujaza nafasi ya katika mikutano yake Africa na dunia kwa ujumla',sidhani kama hii ni kweli,alikuwa ni wa aina yake kwenye miaka ile ila kwa sasa mbona wako wengi tu,isipokuwa wamejikita kutoa huduma kwenye eneo moja,hebu fikiria watumishi kama TB Joshua,Joyce Meyer,TD Jakes na wengine wengi wangeamua kufanya huduma ya kuzunguka kwenye nchi mbalimbali ingekuwaje!na ukumbuke hawa wa sasa wamekuwa maarufu sana kupitia mitandao kwahiyo hata waumini wanao fahamu kazi/huduma zao ni wengi zaidi...
Sasa yeye alijaza nyomi bila hawa mitandao

Yaani aliweza kushawishi bila msaada wowote balaa
 
Nakumbuka alipokuja Kilimanjaro watubwalijaa sana uwanja wa Mashujaa na Injili ilihubiriwa na watu tulimpokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yetu. Long live Bonke
 
Mkuu mm nakumbuka pale Ngaramtoni Arusha mwaka 1997 au 1998 na Mbeya 2004 kama sikosei
Ilikuwa ni uwanja wa Arusha secondary! Ambapo ccm wameupora na kuwauzia wachina, siku hizi pamezungushiwa bati sijui Panafanyika uwizi gani huko ndani!
 
nilishuhudia mkutano wake Nairobi ,wakati maombi ya kuvunja nguvu za giza yakifanyika,kuna kichaa alikuwa akipita nyuma kabisa ya mkutano akiwa uchi mnyama kabisa,aliyechakaa miaka kibao,alianguka alipoamka alikuwa kapona akiomba asitiriwe na nguo.

Mwaka 2001 uwanja wa mashujaa alikuwa uwanjani ikanyesha mvua kubwa sana sana siku hiyo Bonke aliinyooshea kidole tu duu kwa dk 4 likawaka jua Kali sana
 
Maguful atakuwa kampiku maana wakati wa Kampen Raia walikuwa weng mnoo..
Haahahaaa
 
Heri lee, Jitahidi kuandika kwa mtiririko mzuri na kuna typing error nyingi sana mkuu
 
Back
Top Bottom