Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

Nakumbuka nilisikiliza kanda yake ina story ya jamaa mmoja aliyeiba kuku ..zaidi ya hapo sina kumbukumbu nilikuwa mdogo
 
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu but huyu jamaa ninavyo jua alizaliwa kwenye familia ya Kipentekoste na baba yake mzee Bonnke mwenyewe alikua mchungaji huko kwao Ujerumani, kwa baba yake na mama yake walizaliwa watoto 6, yeye akiwa mtoto wa mwisho na before yeye alizaliwa dada yake, kaka yake mkubwa aliyekua anaitwa Martin; nimeandika hivyo baada ya kusoma kwenye uzi wako kwamba wazazi wake walipenda awe PAPA; huyu hakua Mkatoriki bali mpentekoste. Hi story aliisema yeye mwenyewe mwaka 1998 pale kanisa la Lutheran Kariakoo; alikua anapiga crusade taifa mida ya jioni na asubuhi alikua anapiga semina hapo kanisani; was very wonderfull; ni mtu wa Mungu hakika.
 
Nakumbuka jinsi mamangu alivyokua anafunga safari toka kaliua hadi mpanda kwenda kuhudhuria mikutano yake.
 
Back
Top Bottom