Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

Nayeye alikuwa anasema kuna mungu watatu?
biblia siyo gazeti. NI BORA UKAJIKITA KTK IMAN YAKO ZA WENGINE WAACHIE WAO. HIYO NDIO KUELMIKA ILA ELIMU YA MADRASA BILA YA KUCHANGANYIA NI UJINGA ULIOTOPEA
 
Nilimuona korogwe tanga uwanja wa manundu shule ya msingi
 
Basi jamaa ametembea sana maana maeneo yanayotajwa humu sitarajii hata kufika yeye alishafika

Korogwe 1992 nyuma ya stendi ya mabasi
 
nilishuhudia mkutano wake Nairobi ,wakati maombi ya kuvunja nguvu za giza yakifanyika,kuna kichaa alikuwa akipita nyuma kabisa ya mkutano akiwa uchi mnyama kabisa,aliyechakaa miaka kibao,alianguka alipoamka alikuwa kapona akiomba asitiriwe na nguo.

Ooh jamani Mungu yu mwema sana
 
Kwa sasa amemrithisha Huduma Mwinjilisti Daniel Kolenda, baada ya kuhudumu naye kwa miaka kumi akimfundisha, amemweka wakfu mwaka Jana rasmi. Huduma chini ya Kolenda inaendelea tena kwa moto mkubwa zaidi, na idadi ya watu wanao okoka na miujiza ni kubwa Mara nyingi!!!

YESU NI BWANA!!!
 
Mzalendo_Mkweli, ]Mzalendo mkweli, Mungu akubariki kwa link hii, nimepata kitu kipya[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Back
Top Bottom