Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

Mlio karibu nae mwambieni ajiunge na JF pia kutoa huduma!
 
Nakumbuka mwaka 1993 alikuja Mbeya, hapo nilikuwa na Walkman yangu ya Sony, nikiinunua kwenye duka la Sony Corporation Samora Avenue kwa TZS. 50'000/- ilikuwa inatwanga kinoma.
Siku hiyo nakumbuka nilikuwa naisikikiza album ya 2pac Me Against The World, nilipofika kwa Bonke uwanja wa Sokoine, mvua kubwa ikaanza, Bonke akaionyeshea mkono, mvua ikakata instantly
miaka ya hivi karibuni huko USA imeibuka taarifa kwamba wanasayansi wa taasisi ya DARPA ambayo ipo chini ya idara ya ulinzi wa jeshi la marekani, wakishirikiana na wenzao wa taasisi ya HAARP, wanafanya kitu kinachoitwa "weather modification".

yaani wana uwezo wa kusababisha mvua ya kimbunga mwanza halafu mbeya ikanyesha mvua ya rasharasha au isinyeshe kabisa.
 
alianzisha ya chama CHRIST FOR ALL NATION'' CfaN'''
Kwa sasa hiyo huduma ipo na mtumishi DANIEL KOLENDA na yeye ni fire asee maana walitembea wote wakati bonke anapiga injili
 

Attachments

  • daniel_kolenda1.jpg
    daniel_kolenda1.jpg
    22.5 KB · Views: 3
  • bonnke.jpg
    bonnke.jpg
    72.5 KB · Views: 3
namkumbuka viwanja vya furahisha mwanza miaka ya tisini.
PA system yake sio ya kitoto. Naona kama kawaachia watoto wake kwa sasa maana juzijuzi walikuwa mwanza.

Ni kweli huyu jamaa alifufua mtu huko nigeria?
Ni kweli jamaa alifufuka Baada ya kuwa amekufakwa ajali.
 
namkumbuka viwanja vya furahisha mwanza miaka ya tisini.
PA system yake sio ya kitoto. Naona kama kawaachia watoto wake kwa sasa maana juzijuzi walikuwa mwanza.

Ni kweli huyu jamaa alifufua mtu huko nigeria?
Nilikuepo kuhudumu kwenye mkutano huo tulipewa T-shirt zimeandikwa Jesus Alive ministry kipindi nimemaliza form four tulipata temple jobs za maana
 
Back
Top Bottom