Battor
JF-Expert Member
- Mar 21, 2019
- 1,964
- 3,496
Duh basi alikuwa na upako wa ajabu, binafsi sikuwahi kumuona ila namkubali sana kwani baada ya kuja Tz parents wangu walijikuta wana badili dini na kuwa na wokovu faza akaacha kupiga vyombo akawa mtu safi sana, Maisha yalibadilika sana hiyo ilichangia hata mafanikio yangu. Natumaini atakuwa amepumzika sehemu salama zaid.Nakumbuka mwaka 1993 alikuja Mbeya, hapo nilikuwa na Walkman yangu ya Sony, nikiinunua kwenye duka la Sony Corporation Samora Avenue kwa TZS. 50'000/- ilikuwa inatwanga kinoma.
Siku hiyo nakumbuka nilikuwa naisikikiza album ya 2pac Me Against The World, nilipofika kwa Bonke uwanja wa Sokoine, mvua kubwa ikaanza, Bonke akaionyeshea mkono, mvua ikakata instantly