Kushanrishathaimu
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 220
- 347
namheshimu Gwajima sifahamu sana kuhusu huduma yake lakini Bonnke alikuwa ni true servant of God believe or not. Tatizo kuna wahuni wengi sana siku hizi wamevamia injili ndo maana kuna watu ukiwaambia kwamba miujiza ya kweli ya Mungu ilikuwepo na hata kwenye huduma kama za kina Boonke ilikuwepo watu wengi hawaamini.Kama alifufua basi atakuwa mzee wa snema,,,Gwajima style
HallelujahNi kwamba mchango wa huyo jamaa kwenye kuhubili ni mkubwa sana dunian, angekuwa akihubiri juu ya ugaidi na kujitoa mhanga na visasi.Amin usingekuwa hia sasa. acha neema ya mungu na itawale
Nguvu ya neno achana nayo Mungu amemtumia sana hata mimi sikumuona ila mama yangu alinosimulia jinsi alivobadilika baada ya mafundishoDuh basi alikuwa na upako wa ajabu, binafsi sikuwahi kumuona ila namkubali sana kwani baada ya kuja Tz parents wangu walijikuta wana badili dini na kuwa na wokovu faza akaacha kupiga vyombo akawa mtu safi sana, Maisha yalibadilika sana hiyo ilichangia hata mafanikio yangu. Natumaini atakuwa amepumzika sehemu salama zaid.
Amen,.. our God is Awesome GodNguvu ya neno achana nayo Mungu amemtumia sana hata mimi sikumuona ila mama yangu alinosimulia jinsi alivobadilika baada ya mafundisho
Wewe huwezi kuuona huo mtikisiko sababu umekalia Kufuga Midevu na Majini!!!!!.Walokole uwanja wenu huu,jimwageni.mi bado sijauona huo mtikisiko wa dunia anaozungumzia mleta mada.
Huyo namba moja naskia alikuwa ni balaa alikuwa pale anaposimama kuhubiri kulikuwa na mwale wa mwanga unakaa juu yake ambao wanasayansi walishindwa kugundua umetokea wapiNi kipindi cha mapigo kwa INJILI YA KWELI, Great men wa TRUE GOSPEL wanatangulia
1. Bill Graham
2. Moses Kulola
3. Reinhard Bonnke
4.
5.
Kiufupi ni kuwa amemrithisha kazi mkwe wake.Kwa sasa hiyo huduma ipo na mtumishi DANIEL KOLENDA na yeye ni fire asee maana walitembea wote wakati bonke anapiga injili
Dah habari yako imenifikirisha sana.Duh basi alikuwa na upako wa ajabu, binafsi sikuwahi kumuona ila namkubali sana kwani baada ya kuja Tz parents wangu walijikuta wana badili dini na kuwa na wokovu faza akaacha kupiga vyombo akawa mtu safi sana, Maisha yalibadilika sana hiyo ilichangia hata mafanikio yangu. Natumaini atakuwa amepumzika sehemu salama zaid.
Maana hiyo 1993 nilikuwa hata sijazaliwaMarahaba mdogo wangu